Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Hongera sana Taifa stars, lkn namshauri kocha awe anampanga Samatta daki 30 za mwanzo au za mwisho, si kwa sababu kiwango hakitoshi, hapana, ni superstar, hana kiu ya mafanikio. Naamini zile nafasi angekuwa nchimbi pasingetosha
 
Usikose kuangalia kipindi cha Tamasha la Michezo ITV kuanzia saa nane mchana ili umshuhudie Kocha Liston Katabazi akieleza kwa undani madudu ya TFF na ubadhilifu wa pesa unaofanywa na viongozi wachumia tumbo wa shirikisho hilo ambao ndio chanzo cha kudumaa kwa mchezo wa Soka hapa nchini.
 
Mwenye kikosi kipya kilicho tangazwa havi karibuni akitupie.
Hivi kwa walivyo haribu uwanja sababu ya kiburi chao, tuwape kura? Halafu nani atagharamia matengenezo ya uwanja? Ccm au tff au serikali?

Hizi double standard hizi zinakera sana
Screenshot_20201010-122514.jpg


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom