Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Intention yako ipo kwa ccm ndo maana kule panakufaa zaidi...sikuchagulii pa kusemea hayo mambo ya kisiasa si mahali pake hapa...Alafu iweje? Ukaseme napeleka mambo ya timu ya taifa jukwaa la siasa?
We nani humu kwanza uchagulie watu pa kusemea?