Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Alafu iweje? Ukaseme napeleka mambo ya timu ya taifa jukwaa la siasa?
We nani humu kwanza uchagulie watu pa kusemea?
Intention yako ipo kwa ccm ndo maana kule panakufaa zaidi...sikuchagulii pa kusemea hayo mambo ya kisiasa si mahali pake hapa...
 
Oooooh
IMG-20190616-WA0017.jpeg
 
Hatupati updates za maendeleo ya Timu huko Cairo.Website ya TFF mtu wao wa habari amelala sana
 
Moderators, boresheni post ya kwanza ya uzi huu. Weka updates za timu ya Taifa huko Misri. Tujue wachezaji 23 waluobaki huko na kadhalika. Upeni uhai uzi huu.
 
Tumewaachia kwa sababu tumefungwa tukishinda utasikia timu yetu siyo ya Makonda
Tuwe wazalendo jamani
 
Kaimu Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ndairagije Etienne ametaja Kikosi cha Wachezaji 27 watakaoingia Kambini kujiandaa na mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza Kombe la Dunia dhidi ya Burundi.
Mchezo wa Kwanza wa Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti utachezwa ugenini nchini Burundi Septemba 4,2019 na marudiano itakua Septemba 8,2019 Uwanja wa Taifa.
Kikosi kilichotajwa
Juma Kaseja (KMC)
Metacha Mnata (Young Africans)
Beno Kakolanya (Simba)
Shomari Kapombe (Simba)
Hassan Kessy (Nkana,ZAMBIA)
Gadiel Michael (Simba)
Mohamed Hussein (Simba)
Kelvin Yondani (Young Africans)
Idd Moby (Polisi Tz)
Erasto Nyoni (Simba)
Abdi Banda (Highlands,Afrika Kusini)
Jonas Mkude (Simba)
Baraka Majogoro (Polisi Tz)
Hassan Dilunga (Simba SC)
Mohamed Issa (Young Africans)
Abdul Aziz Makame (Young Africans)
Himid Mao (ENPPI,Misri)
Ally N’ganzi (Minnesota,USA)
Abubakar Salum(Azam FC)
Frank Domayo (Azam FC)
Simon Msuva (Al Jadida,Morocco)
Eliuter Mpepo (Budco,Zambia)
Mbwana Samatta (KRC Genk,Belgium)
Abdillahie Yussuf (Blackpool,England)
Farid Mussa (Tenerife,Hispania)
Iddy Nado (Azam FC)
Kevin John (U17)
Ayoub Lyanga (Coastal Union)
Shaaban Chilunda (Azam FC)
Boniface Maganga (KMC)
 
Kikosi v/s Burundi
1. J.Kaseja
2. R.Shamte
3. M.Gadiel
4. E.Nyoni
5. K.Yondani
6. J.Mkude
7. H.Mao
8. S.Abubakar
9. S.Msuva
10. M.Samatta (C)
11. H.Dilunga
 
Back
Top Bottom