Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Alfred Lucas amezungumzia juu ya maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhidi ya Lesotho utakaochezwa Jumamosi hii. Lucas amefafanua kuhusu kuwasili kwa wachezaji wa Lesotho wanaoingia jioni ya leo Alhamisi, pamoja na wachezaji wa Stars ambao watacheza mchezo huo kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon 2019) zitakazofanyika nchini Cameroon,BONYEZA LINK KUANGALIA VIDEO YOTE
VIDEO: TFF WAZUNGUMZIA MAANDALIZI YA MCHEZO WA TAIFA STARS Vs LESOTHO, JONAS MKUDE AREJESHWA KIKOSINI
VIDEO: TFF WAZUNGUMZIA MAANDALIZI YA MCHEZO WA TAIFA STARS Vs LESOTHO, JONAS MKUDE AREJESHWA KIKOSINI