Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Dakika ni ya 39,Taifa Stars inapambana kweli kweli.Mabao ya leo bado ni 1-1. Mabao ya jumla tunaongoza 2-1.Nadir Haroub Cannavaro analiongoza jahazi vyema hadi sasa
 
ImageUploadedByJamiiForums1401630027.951286.jpg

Cc : bato
Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Last edited by a moderator:
Kurusha mechi live wanajf sio rahisi kihivyo mnavyodhani. Kuna mambo mengi ya kuzingatia. Tusiwalaumu TBC

N:B TBC-Redio wanarusha matangazo.
 
Wakuu endeleeni kutu-updates yanayojili ktk mechi hiyo, pia niwapongeze Azam fc kwa kutoa basi lao kupeleka mashabiki kuangalia mechi hiyo.
Huu ni uzalendo wa hali ya juu sana wadau wa soka hatuna budi kuwapongeza kwa kitendo hicho.
 
Kurusha mechi live wanajf sio rahisi kihivyo mnavyodhani. Kuna mambo mengi ya kuzingatia. Tusiwalaumu TBC

N:B TBC-Redio wanarusha matangazo.
Hata kama ni hivyo ndugu tunatia aibu sana, mbona nchi nyingine timu za mataifa yao tv za taifa zinaonesha? Sisi tunashindwa nini kwa mechi kubwa kama hii?
 
Hata kama ni hivyo ndugu tunatia aibu sana, mbona nchi nyingine timu za mataifa yao tv za taifa zinaonesha? Sisi tunashindwa nini kwa mechi kubwa kama hii?

mkuu vumilia, AZAM TV ndio TV ya TAIFA kwa mambo ya michezo!!
 
Back
Top Bottom