Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

Given Edward

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
850
202
The Tanzania national football team represents Tanzania in association football and is controlled by the Tanzania Football Federation, the governing body for football in Tanzania. Tanzania's home ground is The National Stadium in Dar-es-Salaam .

Tanzania has never qualified for the World Cup finals. Before uniting with Zanzibar, the team played as the Tanganyika national football team.

The island of Zanzibar, part of Tanzania (and once an independent nation), is also an associate member of CAF and has played matches with other nations, but is not eligible to enter the World Cup or Africa Cup of Nations.

attachment.php

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania


attachment.php

Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambao ndio uwanja wa nyumbani wa Stars

 

Attachments

  • 1group_200da.jpg
    1group_200da.jpg
    35.4 KB · Views: 8,773
  • _MG_0532.JPG
    _MG_0532.JPG
    38.6 KB · Views: 1,912
  • National_Stadium_Tanzania_.jpg
    National_Stadium_Tanzania_.jpg
    37.4 KB · Views: 8,618
Siasa ni nyingi kuliko mpira wenyewe... Viongozi wa TFF wanadili na media kuliko kazi zao.
 
Hizo ndo jezi ambazo watu wanazilalamikia? Mbona sioni ubaya wake.. Wanaozilalamikia walitaka ziwe za aina gani? Ingawaje hazina rangi zote 4 za bendera ya taifa, zipo poa sio mbaya sana wala sio nzuri. Kitu kingine wachezaji wanaonekana wamepanda au ni ufundi wa kamera? Kidogo niseme naangalia timu moja toka Afrika Magharibi. Miaka yote nimezowea kuona wachezaji wetu wana maumbile ya lishe la Unga-robo usicheze mbali hapa wanaonekana kila mtu at least kala na kushiba. Hii nzuri sana.
 
Duuh nlikua sijamuonaga huyu kocha wa Tanzania..!! Alivyo utafikiri gaidi wa kwenye movie za kivita za kina Rambo enzi hizo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom