Tanzania National Business Council (TNBC). Mbona maneno "Tanzania" na "National" yanafanana?

Nadhani walichohitaji ni kuondoa mkanganyiko. Ukisema National Business Council, watu tutauliza Baraza la Biashara la Taifa gani?.

Yumkini kunayo mabaraza ya biashara katika mataifa mbalimbali.
Ndo maana wakaweka umahususi kuwa baraza linaloongelewa ni la Tanzania na sio vinginevyo.
 
Shirika la taifa la bima linaitwa National Insurance Corporation. Una lipi la kusema juu ya hili mkuu?
 
Kivipi mkuu? Ninaomba ufafanuzi kidogo kwenye hili.
Shirika la taifa la bima linaitwa National Insurance Corporation. Una lipi la kusema juu ya hili mkuu?
Mkuu hapo nilichosema mimi kuwa huenda wamehitaji kuondoa mkanganyiko kwa kuweka umahususi.
Vinginevyo twaweza rudi kwenye lugha kuwa ni sauti za nasibu zilizokubali na watu. Kwa maana kwamba ni makubaliano tu yamefanyika kuwa tuite hivi na kinyume chake.
 
sauti za nasibu zilizokubali na watu. Kwa maana kwamba ni makubaliano tu yamefanyika kuwa tuite hivi na kinyume chake.
Sawa mkuu inawezekana kuwa watu wamekubaliana waite hivyo. Sasa vp kuhusu usahihi wa kisarufi hapo kwenye TNBC?
 
Back
Top Bottom