Tanzania nani alikuloga?

kijiichake

JF-Expert Member
Oct 13, 2010
284
58
Nimesikia nimesoma na kutazama vyombo mbali mbali vya hapa inchini na vya inje ya nchi, kuhusu kashfa ya magendo ya uuzaji wa sukari inje ya nchi ikanikatisha tamaa ya kuitwa mtanzania. Nimegundua kwamba viwanda vya Tanzania bado havijawa na uwezo wa kuzalisha bidhaa za kukidhi mahitaji mahitaji ya watumiaji wa bidhaa hiyo, hivyo kulifanya taifa kuwa soko la mataifa toka asia. Kama hamwezi zalisha sukari yakutoleza watumiaji wa ndani uchumi unakua kivipi? Uchumi wa Tanzania uko (I C U) Chumba cha wagonjwa mahuti huti, wanao hitaji uangalizi maalumu. Mkapa alitusogeza mbele miaka 10! Kikwete katurudisha nyuma miaka 150! Mungu ikomboe Tanzania.
 
Tumelia mpaka machozi ya damu lakini si ccm wala kikwete awezaye kutusikia zaidi wapo igunga kugawana ufisadi ambao ccm,kikwete na rostam wamefanya kwa umoja na unafiki wao .........................kilichobakia ni kuingia barabarani tu mpaka kieleweke
 
aliyebadilisha jina letu tulilopewa na mungu tanganyika ndiye aliyetuloga kwa kutupa jina la mikosi tanzania.
siku tukitubu na kuacha dhambi ya kutumia majina yasiyo yetu tutaokoka na kuishi maisha ya nayofanana na ardhi yetu,anga letu,rasilimali zetu nk.
 
katiba inasema mtu akifikisha miaka zaidi ya 40 anaweza kugombea urais, mwaka 1995 nyerere alimkataa kikwete asigombee hali alikuwa akijua fika kafikisha umri huo na zaidi kwani kati ya vitu alivyokua anatembea navyo ni katiba na biblia so alijua fika kuwa jamaaa kafikisha umri ila alimkataa akisema bado mdogo! JE WATAFITI WA MAMBO HAPO MNADHANI NYRERERE ALITUMIA KIGEZO GANI NA alimaanisha nini??? yani kwa kifupi alimkataa kabisa kuwa hawezi na haya yote nadhani mnayaona na ndo yanayotokea!!!!!!!!!,
 
Igunga igunga natamani huu uchagazi ungefanyika majimbo yote yanayowakilishwa na vilaza magamba ndo wangejua mchezo kwisha bunge lingepata 50% ya upinzani na ndo ingekuwa mwisho wa jk madarakani mungu atatukomboa ama atatuacha?
 
Back
Top Bottom