kijiichake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 284
- 58
Nimesikia nimesoma na kutazama vyombo mbali mbali vya hapa inchini na vya inje ya nchi, kuhusu kashfa ya magendo ya uuzaji wa sukari inje ya nchi ikanikatisha tamaa ya kuitwa mtanzania. Nimegundua kwamba viwanda vya Tanzania bado havijawa na uwezo wa kuzalisha bidhaa za kukidhi mahitaji mahitaji ya watumiaji wa bidhaa hiyo, hivyo kulifanya taifa kuwa soko la mataifa toka asia. Kama hamwezi zalisha sukari yakutoleza watumiaji wa ndani uchumi unakua kivipi? Uchumi wa Tanzania uko (I C U) Chumba cha wagonjwa mahuti huti, wanao hitaji uangalizi maalumu. Mkapa alitusogeza mbele miaka 10! Kikwete katurudisha nyuma miaka 150! Mungu ikomboe Tanzania.