Tanzania namba 4 kwa uzuri duniani(4th beautiful country in the world).

Bess

JF-Expert Member
Oct 4, 2016
542
649
Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani.

Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6.

ina maana hamkujua ya kwamba bustani ya edeni ilikuwa serengeti na ngorongoro?

hata fuvu la mwanadamu wa kwanza adam liligunduliwa olduvai gorge hukohuko karibia na serengeti na ngorongoro.
 
Ripoti iliyotolewa inaonesha Tz ni namba 4 kwa uzuri duniani.

Nchi ya kwanza ni Indonesia, ikifuatiwa na New Zealand, Colombia na Mexico. Kenya wameingia kumi bora pia kwa kushika namba 6.

Tanzania ni kweli nzuri sana kwani ruksa kula kulingana na urefu wa kamba yako mradi usivimbewe.
 
inamaana hamkujua ya kwamba bustani ya edeni ilikuwa serengeti na ngorongoro?

hata fuvu la mwanadamu wa kwanza adam liligunduliwa olduvai gorge hukohuko karibia na serengeti na ngorongoro.
Ndio maana mkenya mmoja akasema,
Jinsi mambo yanavyoenda, utadhan hii nchi ni mtoto pendwa wa Mungu
 
Ukisifiwa na mzungu juwa
Kuna kitu unaviziwa
So kuwa makini na sifa zake
Kuna ukweli wanataka kuuficha ivo.
Maajabu yapo Africa ya kati
 
Wazungu kipindi cha magufuli walikuwa wanapanda kila kitu nchi hii na Leo eti Tanzania ni mzuri...
mama yetu wanamjaza sifa ili aingie king
 
Siku mkisikia nimesifiwa na mzungu, basi tambueni kwamba nitakuwa nimeshawasaliti.
 
Back
Top Bottom