msukuma01
Member
- Jan 4, 2016
- 37
- 9
Hali ya mtafaruku wa kisiasa Zanzibar unatokana na ukosefu wa rasilimali na hali duni ya kiuchumi , hivyo uchumi mkubwa ni sharti usaide uchumi mdogo, serikali ya muungano na serikali ya mapinduzi zapaswa kugawana mapato, amani ya Tanzania inategemea sana mustakabali wa uchumi wa Zanzibar'' Nahodha kaongea bungeni