Tanzania na Watanzania tunahitaji Uhuru, Ukombozi au Mapinduzi?


Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,656
Points
2,000
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,656 2,000
Kunatafsiri tata ya tafakuri dhidi ya hitaji muhimu la Tanzania na watanzania wa leo na wakesho!

Hebu tujiulize watanzania tunajua tunachokihitaji ktk uwanda waleo tuliopo na tuuendeao?

Ni watanzania wangapi wanajua kwa ufasaha tafsiri ya Uhuru,Ukombozi au Mapinduzi?

Tujadili kwa mafaa ya kizazi hiki na kijacho!
 
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
5,665
Points
2,000
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
5,665 2,000
shida waTz wengi hawajui haki na wajibu wao... wengne suala la utaifa wanaona c la kwao...
inasikitisha sn. lkn tutafika
 
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
5,665
Points
2,000
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
5,665 2,000
inaniuma sn. wachache wanapocheza na raslimali yetu bila woga... mabadiliko ya ukweli yanahitajika lkn yatachukua muda.
 

Forum statistics

Threads 1,285,560
Members 494,675
Posts 30,866,790
Top