Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
[/B]
unaona sasa mkuu zakumi, chuo hicho kilitoa ukombozi wa kifikra au kiliwajenga watu kuwa na mtazamo fulani?
sijui unapata ninachokusudia kusema. kwa hiyo watu wale waliohudhuria chuo hicho ndio wamekomboka kifikra?
labda tujiulize fikra zipi tunazozizungumzia hapa?
wale walilelewa kuheshimu tabaka la wakati huo tawala. walifungwa kwa namna nyingine hamna tofauti sana na hadithi ya kivuli kinaishi ya bi kilembwe
There you go. Na wewe ukifungua shule zako za kuwakomboa watanzania, je una uhakika wa kutofanya ya kivukoni college? :becky: :becky::becky: :becky: