Tanzania na TRA wametufikisha hapa. Aibu

Basing on our current regime I wont ignore the contents in that letter. TRA, Traffic and all others that is there natural habit, complaints everyday from everywhere.

Sijui ni wawekezaji gani tunaosema kila siku tunawavutia, huyo mchina anadai kapoteza more than 1 mil. US dollar; na sio kwasababu biashara yake ilikuwa ngumu, tatizo ni hao TRA na wenzao na rushwa juu kila siku wanagonga hodi mlangoni kwake.
 
Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.

Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Bora Mugalifu wao hana hayo mambo.
Mugafilu anazingatia haki za binadamu
Anazingatia utawala bora
Anazingatia utawala wa sheria
Hana upendeleo
Anazingatia usawa kwa kila mwananchi
Anazingatia ulaji sawa wa keki ya taifa.
Anawapenda sana wapinzani wake ikiwemo Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla.
Anapenda sana kukubali kukosolewa
Ni msikivu wa kiwango cha rami.
Anazingatia misingi ya ukuzaji uchumi
Anazitumia vizuri pesa mabeberu(wanaume wachapakazi wa Uraya)
Anahakikisha afya za wananchi zinastawi
Ana ruhusu upatikana wa habari hata zile zinazomkosoa.
Anazingatia uwepo wa usalama wa kila mwananchi hata uwe wa Chadema.
Amekuwa kiongozi wa mfano ulimwenguni hata serikali za peponi zinajitahidi kumuiga yeye.
Anazingatia kutokuwepo kwa wasaliti duniani kwa kuwapa ulinzi(Tundu Lissu amiminiwa marisasi huko Dodoma)
Mambo ni mengi muda mchache

Kidumu chama chetu chakavu cha mapinduzi kisichojali tena matatizo ya wananchi.

Kigumu chama kinacho impoverish watanzania kwa speed ya mwanga.
 
wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
 
wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Nilifikiri Wachina ni ndugu zetu wa damu.
1607126464082.jpeg
 
wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!
 
Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.

Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Kwa yeyote mwenye biashara ataona ka ukweli ktk hizi claims za jamaa.
Mimi nina kaduka kadogo sana kwenye kajisoko flani.

Yaani nina vibali vyote lkn TRA wakija kaaumaqaazao utadhani vijimungu watu. Vinajiskia sana vijamaa. Kumbuka hua sidaiwi sema watajisemesha paleee, wam harrase dada angu wa kazi paleee nipigiwe simu niongee nao washrnzi sana. In the end wanaondoka. Imagine ningekua mjanja mjanja sijalipa kitu

Kijamaa cha mazingira kikaja wiki kama mbili zimepita. Uzuri nilikuepo. Kina kitambi flani cha shida maamae. Kinachukua bidhaa kinaishika then kinampa dada wangu wa kazi akisomee expiry date. Kimefanya hivo karibia bidhaa zote hakijaona kosa. Why kumtesa mfanyakazi wangu? Why. Si ufanye mwenyewe! Kikaona cobweb juu kwa ceiling kikasema nakuandikia barua uje sijui ofisi zao sijui manuspaa sijui wapi. Nikaona katanipotezea timing zangu nikakaambia tuyajenge. Kikasema fine ni laki sasa wewe sema.
Shuka la kimasai hamna eti labda na khaki juu. Moyoni nilijawa na hasira. Kaduka kenyewe kadunchu.

Sasa imagine mgeni mwenye projects kubwa itakuaje
 
Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.

Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Anamdanganya Mchina aka invest Madagascar! Aende tu huko atafanya biashara😂😂
 
Hamna kitu hapo hizo ni fake emails za kuichafua Tanzania yetu.We need to be tough in collecting revenues.Otherwise we won't make it.
 
Kwa yeyote mwenye biashara ataona ka ukweli ktk hizi claims za jamaa.
Mimi nina kaduka kadogo sana kwenye kajisoko flani.

Yaani nina vibali vyote lkn TRA wakija kaaumaqaazao utadhani vijimungu watu. Vinajiskia sana vijamaa. Kumbuka hua sidaiwi sema watajisemesha paleee, wam harrase dada angu wa kazi paleee nipigiwe simu niongee nao washrnzi sana. In the end wanaondoka. Imagine ningekua mjanja mjanja sijalipa kitu

Kijamaa cha mazingira kikaja wiki kama mbili zimepita. Uzuri nilikuepo. Kina kitambi flani cha shida maamae. Kinachukua bidhaa kinaishika then kinampa dada wangu wa kazi akisomee expiry date. Kimefanya hivo karibia bidhaa zote hakijaona kosa. Why kumtesa mfanyakazi wangu? Why. Si ufanye mwenyewe! Kikaona cobweb juu kwa ceiling kikasema nakuandikia barua uje sijui ofisi zao sijui manuspaa sijui wapi. Nikaona katanipotezea timing zangu nikakaambia tuyajenge. Kikasema fine ni laki sasa wewe sema.
Shuka la kimasai hamna eti labda na khaki juu. Moyoni nilijawa na hasira. Kaduka kenyewe kadunchu.

Sasa imagine mgeni mwenye projects kubwa itakuaje
Acha kupaniki..kwahiyo unataka ufanye biashara bila kukaguliwa..? We kua mpole serikali ifanye kazi yake.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli Mamlaka zinazovizia biashara za Tanzania ni nyingi mno alafu nyingi ya hizo zimejifunza u-TRA, yaan vinatoza fines and penalties kubwa kubwa utadhani vinajua hiyo biashara itatoa hizo pesa kwenye fungu lipi!
TRA Kuweni rafiki, jifunzeni kutotisha watu
kwa fines and penalties. Kumbuka ni kila mwaka na madai yake.

1. Halmashauri- Service Levies
- Lesseni
-Mazingira wenu na fain
-Michango changia
2. TRA -Corporate Tax
- PAYE
-SDL
-VAT
-Property tax
3. Wizara ya na Kodi ya ardhi
4. WCF
5. NSSF

6.OSHA -Hawa Wana list ndefu ya vya kulipia, mafunzo, kupima afya wafanyakazi

7. NEMC, wana list pia, annual fees, na permit fees

8. FIRE Wana list pia ya vitu tofauti vya kulipia, eg, fire extinguishers, certificate, mafunzo!

9. Kama una gari, ongeza fine za barabarani, na issue zote za gari.

10. Wakala wa vipimo, mizani reg fees
and fines.
11. Visima refu, vina zake.
12.BRELA

na bado list inaendelea,
Kama lengo ni kuongeza ukubwa wa tax base, tunakosea, tujaribu kuongeza efficiency kwenye tozo chache,
Yaani kwa Hali ilivyo mamlaka ni nyingi kiasi kwamba kampuni zinalazimika kuongeza gharama za ndani kwa kuajiri mtu atakayekuwa kazi yake ni kuzungukia hizo mamlaka, maana in real business life ni shughuli kubwa hiyo.
 
Back
Top Bottom