Kingereza cha kichinaFeckin english
Bora Mugalifu wao hana hayo mambo.Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Nilifikiri Wachina ni ndugu zetu wa damu.wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Kumbe Mchina nae ni BeberuMabeberu hawa tuwakatae..sisi ni dona katri..Nasema uongo ndugu zangu...
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Kwa yeyote mwenye biashara ataona ka ukweli ktk hizi claims za jamaa.Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Anamdanganya Mchina aka invest Madagascar! Aende tu huko atafanya biashara😂😂Kuna email inasambaa mtandaoni ya kuogopesha. Tunavuliwa nguo uchi.
Hebu soma huu waraka. Wawekezaji wanavyotuchukulia. Kwa mtindo huu, Tanzania inazama
Acha kupaniki..kwahiyo unataka ufanye biashara bila kukaguliwa..? We kua mpole serikali ifanye kazi yake.Kwa yeyote mwenye biashara ataona ka ukweli ktk hizi claims za jamaa.
Mimi nina kaduka kadogo sana kwenye kajisoko flani.
Yaani nina vibali vyote lkn TRA wakija kaaumaqaazao utadhani vijimungu watu. Vinajiskia sana vijamaa. Kumbuka hua sidaiwi sema watajisemesha paleee, wam harrase dada angu wa kazi paleee nipigiwe simu niongee nao washrnzi sana. In the end wanaondoka. Imagine ningekua mjanja mjanja sijalipa kitu
Kijamaa cha mazingira kikaja wiki kama mbili zimepita. Uzuri nilikuepo. Kina kitambi flani cha shida maamae. Kinachukua bidhaa kinaishika then kinampa dada wangu wa kazi akisomee expiry date. Kimefanya hivo karibia bidhaa zote hakijaona kosa. Why kumtesa mfanyakazi wangu? Why. Si ufanye mwenyewe! Kikaona cobweb juu kwa ceiling kikasema nakuandikia barua uje sijui ofisi zao sijui manuspaa sijui wapi. Nikaona katanipotezea timing zangu nikakaambia tuyajenge. Kikasema fine ni laki sasa wewe sema.
Shuka la kimasai hamna eti labda na khaki juu. Moyoni nilijawa na hasira. Kaduka kenyewe kadunchu.
Sasa imagine mgeni mwenye projects kubwa itakuaje
Suala la kulipa kodi kabla ya biashara nalo unalizungumziaje.Hamna kitu hapo hizo ni fake emails za kuichafua Tanzania yetu.We need to be tough in collecting revenues.Otherwise we won't make it.
Leo mchina mpiga dili duuh.wapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Hongera kwa mtazamo wakowapiga dili hao..chinesse are not genuine investors at all..ukiona wanalalamika ujue hakuna kupiga dili, whic is good!!
btw...nadhani this is cheap propaganda!!
Hamna kitu hapo hizo ni fake emails za kuichafua Tanzania yetu.We need to be tough in collecting revenues.Otherwise we won't make it.