Wana JF
Katika kupita pita huku na kule kwenye mitandao nimekutana na hii habari kwamba Tanzania kama nchi kuna uwezekano mkubwa sana wa kushindwa kufikia malengo ya milenia. Inaonekana ni lengo moja tu la maji safi kufika vijijini ndio tunaweza kulifanikisha. Wadau hili limekaaje? Ni ukweli au propaganda tu? Na kama lina ukweli ni nini kimesababisha hilo na tufanye nini kuboresha njia za kufikia malengo?
Tafadhali tembeleeni hichi kiunganisho http://www.uneca.org/mdgs/MDGs_page.asp.
Dommy