Tanzania na Malengo ya Milenia

Dommy

Member
Jun 30, 2008
17
1
Wana JF

Katika kupita pita huku na kule kwenye mitandao nimekutana na hii habari kwamba Tanzania kama nchi kuna uwezekano mkubwa sana wa kushindwa kufikia malengo ya milenia. Inaonekana ni lengo moja tu la maji safi kufika vijijini ndio tunaweza kulifanikisha. Wadau hili limekaaje? Ni ukweli au propaganda tu? Na kama lina ukweli ni nini kimesababisha hilo na tufanye nini kuboresha njia za kufikia malengo?Tafadhali tembeleeni hichi kiunganisho http://www.uneca.org/mdgs/MDGs_page.asp.Dommy
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,513
1,758
MALENGO YA MILLENIUM....! MILLENIUM DEVELOPMENT GOALS( MDG's), NI MALENGO YALIYOTOKANA NA MKUTANO WA UN WA MILLENIUM ULIOKETI SEPT 2000. MALENGO HAYO YAKITARAJIWA KUFIKIWA IFIKAPO 2015.
KULIKUWA NA MALENGO MAHSUSI 8 KAMA AMBAVYO MEMBAZ WA JF WATAKAVYOORODHESHA...!
 

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,513
1,758
NJAA/UMASKINI, ELIMU, JINSIA, VIFO VYA WATOTO, VIFO AKINAMAMA,MAGONJWA, MAZINGIRA & USHIRIKIANO WA KIMAENDELEO DUNIANI....!
....THESE ARE MDG's IN A NUTSHELL....!
 

Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,534
8,622
Hakuna hata moja litakalo fikiwa isipokuwa hesabu ya maghorofa hiyo haina Ubishi!...Kila senti ya kuendeleza malengo hayo inaibiwa na watu wanashusha maghorofa!..Majumba ni uchumi binafsi unaokuwa kwa asilimia 50 kila mwaka na kila kiongozi/ Mtanzania anajua hilo!..who cares about education, health, water na sijui nini kama ngawila inaingia! - NDIVYO TULIVYO!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom