Tanzania na Madini yake..... (A fool and his money soon parted)......

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Ni bora aliyesema madini hayaozi bora tuyakalie....... Hawa wa sasa inaonekana wamesahau kwamba madini haya yanakwisha hayatakaa milele...

Hii naifananisha na mzee wako (Mungu) amekupa mtaji ambao inabidi kuutumia kuinvest zaidi kwenye mambo ambayo ni long term na yatakusaidia kwa muda mrefu... lakini matokeo yake unafuja mali yote bila kuizalisha ukitegemea mtaji huo hautakwisha...

Ndio wawekezaji wamekuja lakini kwanini tusitumie pesa hiyo kuinvest kwenye mambo ambayo yatasaidia hata taifa la kesho.... (tuinvest kwenye miundo mbinu kama reli n.k.) tukifufua reli na kufanya ikawa ya kisasa na kuisambaza tanzania nzima itatusaidia wote.... mbona wajerumani walitujengea hii reli ya kati na sisi ndio tunaiua sasa (reli ikiwa bora tunaweza iendesha profitably na kusaidi usafirishaji mizigo, ajira n.k.)

Kwanini tusianzishe viwanda vya kusimika mazao.... tumezungukwa na land locked countries... kwanini tusiendesha bandari zetu kwa faida (Mtwara, Tanga na Dar...) kwanini tusiboreshe hifadhi zetu za wanyama kwa ajili ya watalii?


WE ARE THIS POOR WAKATI MADINI BADO TUNAYO JE TUKIYAMALIZA SI TUTAKUFA.......
 
Back
Top Bottom