Tanzania na maajabu 7 ya dunia, hii vipi wadau. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na maajabu 7 ya dunia, hii vipi wadau.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Makambuya, Oct 8, 2012.

 1. M

  Makambuya Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Najiuliza hivi ni kwanini TZ tumeng'ang'ania kuingiza Mlima Kilimanjaro kwenye maajabu 7 ya dunia wakati tuna maajabu mengi tu zaidi ya huo mlima? Mfano mdogo unajua kuwa TZ ni nchi ya kwanza kutoa wanafunzi wa darasa la saba hawajui kusoma nakuandika ila wanafaulu mtihani. Hii vipi wadau haiwezi kuingia kwenye maajabu 7 ya dunia?
   
 2. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Hayo siyo maajabu bali ni MUUJIZA!
   
 3. s

  sawabho JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Mkuu Makambuya, maajabu ni kitu kinachoweza kuonekana na kushikika (tangible object). Sasa kumaliza darasa la saba na kufaulu kuingia kidato cha I bila kufahamu kusoma na kuandika unaweza kuithibitishia dunia kuwa ni suala la ajabu na halijawahi kutokea kokote ? Halafu sio suala la kudumu maana hao vijana wanaweza kujifunza kusoma na kuondoa hilo ajabu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  kakojoe ukalale!
   
 5. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Bila shaka na wewe ulifaulu mtihani wa darasa la saba ukiwa hujui kusoma kwa hiyo unataka uwe sehemu ya maajabu ya dunia. Haya mkuu kazi kwako
   
Loading...