Tanzania na kwenye siasa zetu kuna hidden position (vyeo vya kisirisiri)?

Hao unaowaita covid 19 bungeni wanawake wote wa Chadema minongono wanasemekana Ni usalama wa Taifa wote ambao Mipango yote ya Lisu na Mbowe ya kigaidi waliimwaga vyombo vya ulinzi na usalama ikabidi Lema na Lisu wakimbie nchi

kama ni hivyo basi tiss wanafanya kazi kizamani.

kwa dunia ya sasa na maendeleo yake ya kiteknolojia, huhitaji kutumia kundi kubwa la watu ili wafatilie mienendo ya mwanasiasa wa upinzani.

kwangu mimi hayo ni matumizi mabaya na ya hovyo ya resources. tiss wajitafakari.
 
Back
Top Bottom