Tanzania na kuandika historia mpya katika uchaguzi mkuu 2020

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
13,114
17,741
CCM ni chama kinachotawala Tanzania.Kimetawala kuanzia mwaka 1977 hada sasa.Tangu mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992 ni CCM tu imeendelea kushinda na kuongoza Tanzania kwa sera zake,chama cha upinzani hakijawahi kushinda uchaguzi.

Je,umefika wakati wa kuandikwa historia mpya nchini Tanzania kwa mabadiliko ya chama cha upinzani kushinda uchaguzi tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe?

Kushinda kwa chama cha upinzani maana yake ni kuandikwa kwa historia mpya nchini Tanzania.

Mambo mengi yatabadilika kulingana na sera ya chama kipya kutawala ikiwemo kuandikwa kwa katiba mpya.

Tanzania ipo tayari kupokea mabadiliko mapya katika historia yake?
 
Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
 
CCM ni chama kinachotawala Tanzania.Kimetawala kuanzia mwaka 1977 hada sasa.Tangu mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992 ni CCM tu imeendelea kushinda na kuongoza Tanzania kwa sera zake,chama cha upinzani hakijawahi kushinda uchaguzi.

Je,umefika wakati wa kuandikwa historia mpya nchini Tanzania kwa mabadiliko ya chama cha upinzani kushinda uchaguzi tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe?

Kushinda kwa chama cha upinzani maana yake ni kuandikwa kwa historia mpya nchini Tanzania.

Mambo mengi yatabadilika kulingana na sera ya chama kipya kutawala ikiwemo kuandikwa kwa katiba mpya.

Tanzania ipo tayari kupokea mabadiliko mapya katika historia yake?
Historia kubwa sana inaenda kuandikwa hapa Tanzania hapo wiki ijayo. Watanzania kwa uwingi wao wanaenda kuishangaza dunia kwa kiwango kikubwa sana kuwai tokea. Ccm inaenda kuangushwa rasmi kuwa Chama Tawala nchini Tanzania na jabali wa siasa Tundu Antiphas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025.
 
Hongera sana Tundu Antiphas Lissu,

Nakuona Tarehe 28/10/2020 ukienda kupiga kura kituoni, Naona watanzania wengi wakienda kukupigia kura siku hii.

Naona vituo vya kupigia kura vikiwa vimejaa, wananchi wakiwa na furaha wakisema Ni yeye.

Naona zoezi la kupiga kura likiwa limekamilika na maeneo mengi Tanzania wananchi wakiwa mita 200 kusubiri matokeo. Wengi wakiwa hawajali kama kuna mvua au jua wanachotaka ni kupata matokeo yao.

Naona maeneo mbalimbali ya Tanzania wananchi wakianza kushangilia kuwa unaongoza kwa kura nyingi dhidi ya Mpinzani wako Magufuli na naona watanzania wengi wakiwa na furaha huku wakipigwa na butwaa kwani hawaamini yanayotokea.

Naona kiongozi mkuu wa kikosi cha walinzi wa viongozi alifika nyumbani kwako na kukutaarifu kuwa Idara nyeti ya Taifa imeamua kukuwekea ulinzi na nyumba yako ikiwekewa ulinzi na kikosi maalumu cha kulinda viongozi. Hii ni kwa sababu idara imeona ni vyema na vizuri kukutambua rasmi kama amiri jeshi mkuu mtarajiwa.

Mwisho Naona vuguvugu la ushindi wako linawashinda Tume ya Uchaguzi maana Tanzania nzima ni furaha na maandamano ya watu kushangilia kuanguka kwa Magufuli na hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi inakutangaza kama mshindi wa kiti cha Uraisi.

Mungu naomba fanikisha na simamia hili kwa Jina la Yesu Kristo. Amen.
 
Historia kubwa sana inaenda kuandikwa hapa Tanzania hapo wiki ijayo. Watanzania kwa uwingi wao wanaenda kuishangaza dunia kwa kiwango kikubwa sana kuwai tokea. Ccm inaenda kuangushwa rasmi kuwa Chama Tawala nchini Tanzania na jabali wa siasa Tundu Antiphas Lissu anaenda kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025.
JamiiForums1106629257.jpg
IMG_20201004_091700.jpg
 
Back
Top Bottom