LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,236
- 17,944
CCM ni chama kinachotawala Tanzania.Kimetawala kuanzia mwaka 1977 hada sasa.Tangu mfumo wa vyama vingi uanze mwaka 1992 ni CCM tu imeendelea kushinda na kuongoza Tanzania kwa sera zake,chama cha upinzani hakijawahi kushinda uchaguzi.
Je,umefika wakati wa kuandikwa historia mpya nchini Tanzania kwa mabadiliko ya chama cha upinzani kushinda uchaguzi tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe?
Kushinda kwa chama cha upinzani maana yake ni kuandikwa kwa historia mpya nchini Tanzania.
Mambo mengi yatabadilika kulingana na sera ya chama kipya kutawala ikiwemo kuandikwa kwa katiba mpya.
Tanzania ipo tayari kupokea mabadiliko mapya katika historia yake?