Siasa za Tanzania ni za ajabu sana na zinaleta changamoto ktk kujua nini hasa cha msingi watanzania wanahitaji!
Mkasa huu wa Jini na mwenye chongo unaweza kuainisha haiba ya watanzania tuliowengi hasa kwenye hii taaluma ya siasa!
Kisa:-
Kuna jamaa mmoja (Mr. X) aliyekuwa akiishi maisha magumu sana. Karibu na nyumba yake palikuwa na jirani ambaye alikuwa mwenye maisha magumu pia lkn hodari wa kazi, kwa hiyo watu walimpenda na ingawa alikuwa pia ni mwenye maisha magumu lkn alikuwa akiheshimika ktk kijiji!
Mr. X hakuwa akimpenda jirani yake na muda wote alikuwa akijitahidi kufanya kila liwezekanalo ili ampite huyu jirani yake! Ktk kuhangaika siku moja bwana X alifanikiwa kumnasua mnyama ktk mtego ktk msitu wa kwao na baada ya kufanikisha hilo ikatoea kuwa yule alikuwa ni Jini ambaye ni binadamu pekee ndiye atakayeweza kumtoa ktk mahangaiko! Kwa kuwa bwana X alifanikiwa kutimiza hilo, Jini alimuamuru aombe chochote anachotaka atamtimizia, Ila alimuahidi kuwa kwa lolote atakalolichagua basi mtu aliye jirani na yeye atapata maradufu! Haraka picha ya Jirani anayesifika kijijini ikamjia bwana X na hivyo akaona haiwezakani kumnufaisha jirani anayemkera!
Jamaa ikabidi aombe kutolewa jicho moja na kuwa chongo akijua fika jirani yake atatolewa macho yote mawili!
Kisa hiki cha jirani chongo nadhani tunakiishi!
Evil wishes ndio misingi mikuu ya watanzania!
Mwana ccm anasema nachukia chadema kuliko kitu chochote, qlikewise kwa mwana ccm!
Watu wa kanda X hawapendi mafanikio ya kanda y, the same kwa watu wa dini z na w!
Nje hapo wote tunahubiri maendeleo kwa wote, elimu ni kwa wote, usafiri na issue nyingine za maendeleo au changamoto ni za wote!
Kutokana na chuki zetu kwa jirani tunasahau shida zetu za msingi na malengo ya mapambano yenu!
Chuki zinatupoteza zaidi na kuhangaika kuombeana mabaya kuliko mema, huku wenyewe tukiendelea kuumia bila ya kujali kwa kuwa jirani amekomoka zaidi!
Sioni mwanga njiani, nadhani safari hii ya awamu ya tano itazama kama nyingine zote, unless tuache chuki, husuda na vinyongo vitukimbie ndio tutafanikiwa!