Tanzania na Israel zasaini mkataba(MoU) wa ushirikiano wa Kijeshi na Kiintelijensia

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
6_0.jpg


Serikali ya Tanzania na Serikali ya Israel zimesaini kwa pamoja mkataba wa ushirikiano wa kiulinzi na kushea intelijensia.

Mkataba huo utajumuisha vipengele vikuu ambavyo ni kushare intelijensia katika mambo mbali mbali ya kiusalama kubwa likiwa ni kupambana na ugaidi, Mafunzo ya Kijeshi kwa vikosi vya kijeshi, Cyber Security, na Teknolojia ya Kijeshi.

Mkataba huo pia utaisaidia Tanzania hususani TISS kutumia teknolojia ya kisasa katika mambo ya kiusalama.

Mkataba huo uliosainiwa jana makao makuu ya JWTZ Upanga jijini Dar es Salaam ambapo Tanzania iliwakilishwa na Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi, huku Israel ikiwakilishwa na Waziri wao wa Ulinzi Avigdor Liberman.

Wazito wengine waliohudhuria ni Mkuu wa Majeshi Generali Vanance Mabeyo na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Modestus Kipilimba.

Mkataba huu utazifanya TISS na MOSSAD kushare intelijensia katika mambo ya Kiusalama.

=========

A NEW chapter in diplomatic relations between Tanzania and Israel was written yesterday with the signing in Dar es Salaam of the first agreement between the two countries covering mutual cooperation on issues of defence and security.

According to the Minister of Defence and National Service, Dr Hussein Mwinyi, the new memorandum of understanding (MoU) will include sharing information that can help combat rising cases of crimes bordering on terrorism.

It opens new frontiers for the further nurturing of bilateral relations between Tanzania and Israel that went sour during the years of the global Cold War, Mwinyi noted.

He was speaking after he and visiting counterpart Israeli defence minister Avigdor Liberman put pen to paper on the historic MoU document in an event held at the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF) headquarters in Upanga, Dar es Salaam.

Said Dr Mwinyi: “We (Tanzania) have a long-time relationship with Israel, but our friendship has in recent years slowed down because of the Cold War and the differing stances that our two countries maintained in relation to global politics.”

Specific areas of cooperation under the new pact will include (military) troop training, cyber security, territory security, and military technology.

Visiting Israel defence minister Liberman had earlier held closed-door talks with Dr Mwinyi and other senior government officials before the media briefing.

Among the top government officials at the meeting were the Chief of Defence Forces (CDF), Venance Mabeyo, and Tanzania Intelligence Services (TISS) director general Modestus Kipilimba.

In his remarks, the Israeli minister said the new agreement will help the two countries share intelligence information on various areas of security, including helping Tanzania with expertise in technology-based security.

He said the Israeli government will continue to use the fast-warming bilateral relations with Tanzania to boost trade and investments between the two countries.

After being severed for many years, bilateral ties between Tanzania and Israel were re-established in 1995, but Israel continued to conduct diplomatic services with Tanzania via Nairobi in neighbouring Kenya.

Tanzania expressed interest in reopening a mission in Israel multiple times in recent years, but this interest was officially conveyed through a letter from President John Magufuli which Foreign Minister Augustine Mahiga handed to Israeli prime minister Benjamin Netanyahu when the latter toured East Africa in 2016.

Tanzania has since established a fully-fledged embassy and ambassadorial presence in the Israeli capital Tel Aviv.

Israel ranks among the top 18 nations in the world on the UN's Human Development Index - - the highest ranked in the Middle East - which places it in the category of ‘Very Highly Developed’.

This allows the country to enjoy a high standard of living rivalling other western nations such as Austria, France, and Finland. The major economic sectors include high-technology and industrial manufacturing.

Relatively under-privileged in terms of natural resources endowment, Israel depends on imports of petroleum, raw materials, wheat, motor vehicles, uncut diamonds, and production inputs.

However, the country's nearly total reliance on energy imports may change with recent discoveries of large natural gas reserves off its coast on the one hand, and the leading role of the Israeli solar energy industry on the other.

Source: The Guardian
 
Kikubwa na kizuri ni sisi wenyewe kujenga mfumo wetu pasipo kushirikisha yeyote.. Mossad na Israel wana ushirikiano pia wa kiintelejensi na Nairobi ndio maana Mossad wamejaa sana Nairobi, Rwanda pia ni the same.
Mwenye nguvu ni yule anayebuni na kutengeneza kitu chake mwenyewe, huwezi kuwa imara kwa kufundishwa na kucopy..
Jeshi na vyombo vyetu vya usalama vijaribu kuajili watu wenye akili nyingi ili wabuni mifumo yetu wenyewe na sio kuendelea kufundishwa kila siku na hao watu wa dunia ya kwanza na ya pili..
 
Mambo ya ajabu haya.....

Nilijua ni ushirikiano wa maswala ya kilimo, elimu na technology za kusaidia wananchi.... anyway.... labda watatusaidia kutuliza Kibiti
Mambo huwa ni hatua kwa hatua.
Tulianza kupiga chapuo juu ya ubalozi, ikatiki.
Na sasa tumepiga chapuo kuhusu Intelijensia, nayo imetiki.

Next time ni uchumi na kilimo.

Kumbuka Bugando walijenga wao kabla ya kutibuana na Mwalimu akawatimua, ule mfumo wa umwagiliaji uliokuwa bora kabisa East Afrika pale Morogoro walijenga wao.

Ni hatua njema.
 
Na kweli. Nasikia hata makomandoo wetu wakienda kusoma huko kwao, wanapewa assigment, swali linataka ueelezee labda silaha zetu zilipohifadhiwa, basi hapo mwanajeshi wetu anajikunja, anaelezeeeea, utapita hapa, ushuke vile, uende kushoto kisha urudi kulia, mmmmh! (si anatafuta maksi ufaulu). Kwa hiyo wale wazungu wanakuwa tayari wameshajua kila kitu kilipo
Hakuna kitu kama hicho
 
Back
Top Bottom