NewDawnTz
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,667
- 362
Kimsingi namchukia mkwere.
Hata hivyo sikuamini kama anaweza kuwa na hotuba za kipuuzi kama zile alizokuwa akitoa huku akikenua meno kama ngiri.
Kumbe sikujua kuwa hotuba hizi ni za January Makamba. Like father like son.
Poleni watanzania wenzangu kwa kushibishwa upuuzi wa January Makamba aka "Mvivu wa Kufikiri to the Core" kwa kupindi cha miaka mitano mfululizo (2005 - 2010).
Aliepita alikuwa wa Taarabu na Mchiriku mtupu,
Hebu tuone huyu wa sasa, labda anaweza kutubadilishia rhythms na lyrics na kutuletea reggae