Tanzania na Corona: Ujumbe wa Masoud Kipanya

Wakati dunia nzima ikicheza step sawa za nyimbo moja inayopigwa na djWHO, cha AJABU jiwe anajichezea step ya pekee yake😆😆 kipanyaaaaaaa noma
 
Hakuna anaetaka lockdown. watu waambiwe na tahadhari zichuliwe. sio kulundika watu kwenye mwendokasi as if hakuna ugonjwa mbaya zaidi hata barakoa hawavai hii kitu unaondoka na watu kama vile utani aisee... Uliza pale wizarani Dodoma mpk sasa ni madereva wangapi wamefariki? Uliza wizarani pale Dodoma ni wafanyakazi wangapi wameondoka.. Eee Mungu tuongoze
Kwani ni lini tulizuiwa kuvaa balakoa,, lini tulizuiwa kujilinda ww unaeona hayo jikinge washauri na ndg zako wajikinge!!!

Kwaiyo mnasubiri mpaka serikali itangaze kujikinga sio?
 
Dodoma kimenuka watu wanatumia oxygen Hadi majumbani.Ndio maana kakimbia na harudi mpaka patulie.
 
Kwani ni lini tulizuiwa kuvaa balakoa,, lini tulizuiwa kujilinda ww unaeona hayo jikinge washauri na ndg zako wajikinge!!!

Kwaiyo mnasubiri mpaka serikali itangaze kujikinga sio?
Sijui unaishi wapi juzi Madiwani Moshi wamevuliwa barakoa.
 
Kwani ni lini tulizuiwa kuvaa balakoa,, lini tulizuiwa kujilinda ww unaeona hayo jikinge washauri na ndg zako wajikinge!!!

Kwaiyo mnasubiri mpaka serikali itangaze kujikinga sio?
Ndugu yangu kuna watu hawasikii mpk wasikie kutoka juu ambayo itakuwa too late
 
Back
Top Bottom