Tanzania mwenyeji mkutano wa wabunge wa jumuiya ya madola.

Omumura

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
476
18
Mwezi huu wa tisa Tanzania itakuwa mwenyeji wa mkutano wa 55 wa wabunge wa Commonwealth utakaofanyika Arusha.Tunaambiwa kwamba wanakuja wabunge wapatao 800 hivi!Sina uhakika Tanzania imejiandaaje kufaidika na fursa za mkutano huo!
 
Back
Top Bottom