Tanzania mwanzo wa mwaka 2011 mpaka Disemba itakuwaje?

Don Alaba

Senior Member
Nov 3, 2010
167
18
Tanzania ilivyouanza mwaka 2011
1. Katiba Mpya
2. Noti mpya feki
3. Matokeo mabaya ya form 4
4. Malipo ya dowans
...5. Vichanga waliozikwa mwananyamala
6. Migomo ya vyuo
7. Mabomu gongo la mboto
8. Mgao wa umeme mwaka mzima
Na hii ni Februari tu Sijui tutafikaje Disemba Si Nchi Itabinafsishwa????


map-of-tanzania-with-flag-thumb3083594.jpg
 
Ni kutokana na kutowajibika tulikotoka! ukitaka kuelewa vizuri suspend/ignore issues zinazohusu maendeleo yako na ya familia, utapata majibu mbele ya safari!
 
Umesahau na PM kudanganya bunge na Watanzania kwa ujumla....

Na mauaji Arusha na Mbarali.........
 
Tanzania ilivyouanza mwaka 2011
1. Katiba Mpya
2. Noti mpya feki
3. Matokeo mabaya ya form 4
4. Malipo ya dowans
...5. Vichanga waliozikwa mwananyamala
6. Migomo ya vyuo
7. Mabomu gongo la mboto
8. Mgao wa umeme mwaka mzima
Na hii ni Februari tu Sijui tutafikaje Disemba Si Nchi Itabinafsishwa????


View attachment 23648

Arusha killings or term it massacre
 
Tanzania ilivyouanza mwaka 2011
1. Katiba Mpya
2. Noti mpya feki
3. Matokeo mabaya ya form 4
4. Malipo ya dowans
...5. Vichanga waliozikwa mwananyamala
6. Migomo ya vyuo
7. Mabomu gongo la mboto
8. Mgao wa umeme mwaka mzima
Na hii ni Februari tu Sijui tutafikaje Disemba Si Nchi Itabinafsishwa????


View attachment 23648[/QUOTE
9.hyper inflation
10.spika bomu
11.waziri mkuu bomu
12.mkuu wa kaya bomu
 
bila kusahau
ni kweli tumeona RIZ 1 amesafiri kwenda Dubai tena kwa ulinzi mkali kama mtoto wa Ghadafi vile..lol kumbe alikuwa anakwenda kumleta huyo msaniii wa DOWANS, Kumbe jamaa mwenyewe inasemekana alikuwa ni feki
duh tz bwana mambo ni mswano sana
 
Ukizingatia hazina kwa sasa iko hoi bin taaban!!!!! Mishahara ya watumishi inalipwa kwa kubahatisha!!! Kazi kweli.....
 
Duh, hivi kumbe ndio kwanza February!

Naamini kwamba ikifika December tutajua mbivu mbichi!

Ila tutafika tu.
 
Back
Top Bottom