Mnyalu wa Kweli
JF-Expert Member
- Oct 7, 2010
- 233
- 55
Kwa utendaji wa JPJM naona Tanzania baada ya miaka miwili tu itakuwa imeanza kubadilika sana kimuonekano na kimaendeleo kwa ujumla.Barabara njia sita Dar-Chalinze,flyovers na daraja kule Salenda.JPM achukue approach ya Kagame ktk leadership isipokuwa tu asibadili katiba.