Hapo ndio wanapoharibu Charles huyu aliyeigeuza benki ya wazawa kuwa ya wachaga watupu? tumeumia? kama ni morgage katafute kwingine na kama ni bidhaa hatutaiulizia tumeshindwa sisi, nadhani ingekua vizuri kama ilivyotokea TANESCO na NBC kama ni huyo rais achauge watu wapya wanaovuna kwa kupanda jamani Tanzania hii ina watu wengi. Tumechoshwa na wachovu wanao lobby hizo nafasi kwa faida zao. Kwanza yeye mwenyewe ameshawekeza kwenye real estate atapewa jiko hapo hauoni kuna conflicts of interest na kuendeleza ufisadi kama ule wa kupitisha hela za EPA? ama ndio katika matayarisho ya bl 40 za uchaguzi wa CCM?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.