joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Hii ni kuonyesha kwamba Tanzania ni nchi muhimu sana katika eneo hili la utalii hapa Afrika, kwasababu imeweza kuzipita kwa mbali sana nchi tajika katika utalii kama vile Mauritius,na Nigeria.
Katika hesabu za haraka inaonyesha kwamba, pesa inayopata Tanzania ni sawa na pesa ya Kenya na Uganda kwa pamoja.