Liganga
Senior Member
- Jul 4, 2007
- 165
- 125
Nimekua nasikia taarifa mbalimbali kuhusu shirika letu la umeme TANESCO na vyanzo vyake vya ememe pamoja na mikakati ya kutatua tatizo la umeme usio na uhakika.
Nimeamua kufungua mjadala kuhusu iki kinachojitokeza ya kwamba mradi wa umeme wa Stiglers Gorge na kucheleweshwa kwako.
Apa chini nimejaribu kuweka kiambatanishi kinachohusu mradi mwingine wa umeme wa maji uko nchini India unajulikana kama Subansiri Lower Hydroelectric Project (2000 MW). Kwa kifupi mradi huu hauna tofauti sana na huo wa apo nyumbani.
Nawasihi tujadili kwa kina, tuangalie vitu vya msing kuhusu miradi hii miwili na utekelezaji wake,
Tuangalie vitu kama EIA ilifanyika lini, mradi ulipangwa kuanza lini na hatimaye ulianza lini, gharama nzima za mradi - mchanganuo.
Kwa misingi hii apo juu tunawezajua nini kiini na ufumbuzi sahihi wa tatizo hili kwa nchi yetu ya Tanzania.
vile vile nashauri watanzania wote na jamii ya waandishi wetu wawe wanafanya uchunguzi wa kina kabla ya kuandika mada au kutoa mchango wao katika mada mbalimbali (Our nations challenges)
Attachment : View attachment SLHP_2007.pdf