Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
JAMANI, malawi wanataka watz tu pull out the new map inayoonyesha mpaka wa nchi hizi upande wa kaskazini unapitia katikati mwa ziwa. hivi malawi ni nani hata atulazimishe watz kufutilia mbali ramani hiyo? halafu, mbona sijamsikia membe akiwaambia kuwa SISI HATUWEZI KUONDOA MAP HIYO KWASABABU NDIO RAMANI YETU SISI WATZ. who cares cama wakiamua kukubaliana na usuluhishi au kama wakiamua kuchuniane tu? nani ana hasara zaidi kati yetu sisi watz na malawi? si wao?
PILI, Malawi wanataka watz na wao tukubaliane kulipeleka suala hili ICJ. tatizo ni kwamba, tukienda ICJ kulingana na nilivyoona mkataba na hoja zingine wanazotoa malawi, given the fact that uingereza ndio wenye interest ya mafuta na gas mle, kuna uwezekano tukapigwa changa la macho na kupigwa chini kabisa. once the judgement has been delivered, watz hatutakuwa na mahali popote pa kushika na mataifa yote watatutaka sisi tuheshimu maamuzi ya mahakama. SASA, NAOMBA SERIKALI YETU ISIKUBALI SUALA HILI LIENDE ICJ. kwanini? kwasababu tukienda kule tutapigwa chini.
FAIDA YAKE NI KWAMBA, ICJ haiwezi kulipokea na kuendesha shauri hadi nchi zote mbili zikubaliane, kama nchi moja ikikataa kwamba hatutaki suala letu lije hapa, basi ICJ hawana nguvu ya jurisdiction. yaani ile mahakama ya ICJ ni kama ya ku volunteer tu hapa mwanzo kabla hamjafika, ila mkifika tu mkawapa power, basi mnatakiwa kuiheshimu. kuipa mahakama ile power ni kukubaliana pande zote mbili. ukiangalia kwasasaivi, malawi wanasema kuwa, wangependa suala hili liende ICJ lakini tz hatutaki, hivyo hakuna jurisdiction pale ICJ..naomba tushika msimamo huu huu. ajabu ni kwamba, nilimsikia membe akisema kuwa, anawahakikishia watz kuwa atalilinda ziwa, tutaipeleka malawi ICJ na tutashinda kesh, tutawashinda malawi..tusilongwe bwana membe, wewe wala usitake twende huko..tung'ang'anie hapahapa kusuluhishana kwa kupitia wasuluhishi, tukishindwa twende kwenye vita tuzipige....atakayeshinda basi ni bwana wa mwingine. na ninajua nchi za ulaya haziwezi kukubali tupigane lazima watamleta msuluhishi prudent tu na kumaliza suala hili. watz tusikubali ziwa hili liende. AU LA, BASI TUUCHUNE TU ASIWEPO MTU YEYOTE ATAKAYECHIMBA MAFUTA WALA GAS, hapo kama wao watakubali haya....wakitaka kuchimba basi wasiguse eneo letu. na, wanajeshi wa tz mkiona boat au ndege au mvuvi yeyote analeta pua yake upande wa tz, safisheni kabisa ili kuleta discipline...watz tusije dharaulika.