Tanzania maisha rahisi sana

Mkuu...ila kuna maneno mbna hukuyataja kw kiswahili...kw mfano, economic inclusiveness?
Hizi akili zenu ndogo zinawapa shida sana,
1) Nchi ambayo ina " the lowest inflation rate in the region.
2)Inaongoza Afrika kwa kupunguza umasikini
3)Inaongoza Afrika kwa matumizi mazuri ya pesa za serikali
4)Inaongoza Afrika katika "Economic inclusiveness index"
5)Inaongoza Afrika katika kupambana na rushwa.

Hivi nchi yenye kufanya vizuri katika hayo yote, vipi tena gharama za maisha ziwe zinapanda?. Inflation rate"
 
Siajona kitu cha mana..ni views tu wanatafuta
Screenshot_20191009-233253_YouTube.jpeg
 
Hahahaha, mnaitamani sana nchi ya maziwa na asali, ndio sababu mnabembeleza tuwaruhusu kuingia bila Passport lakini hatutaki.
Tunaingia bila passport bila wasiwasi na usisahau tuna familia humo, kazi kuchuma na kuweka hazina hapa nyumbani kuongeza uchumi Hadi tunabaki kileleni...Yani East and Central Africa's wealthiest Nation.😋😋😋 prrrrrrrrrr Kang Kang
 
Tunaingia bila passport bila wasiwasi na usisahau tuna familia humo, kazi kuchuma na kuweka hazina hapa nyumbani kuongeza uchumi Hadi tunabaki kileleni...Yani East and Central Africa's wealthiest Nation. prrrrrrrrrr Kang Kang
Kumbe siku hizi mnaruhusiwa kuingia katika nchi yenye maziwa na asali bila Passport?, sasa kwanini hawa wanalalamika badala ya kuvuka mpaka na kuja Tanzania kuja kuishi maisha yenye raha, heshima na Amani badala ya kupata taabu huko " Failed state?
 
Mgumu kuelewa ww.
Na Inaonekana huna hoja ila mbishani.
Usinichanganye mimi...awamu zilizopita kwani hayakuwepo hayo...
We kubali, magu kaamua kuleta maendeleo kilazima ndio manake akaathiri bei za bidhaa...sio kw kodi zile aisee
 
Kumbe siku hizi mnaruhusiwa kuingia katika nchi yenye maziwa na asali bila Passport?, sasa kwanini hawa wanalalamika badala ya kuvuka mpaka na kuja Tanzania kuja kuishi maisha yenye raha, heshima na Amani badala ya kupata taabu huko " Failed state?

Kenyan media Ni tamu aiseh! The poorer the country the easier the life if you are a rich foreigner, ndio maana utatupata Nchi zote Masikini ili kuchuma kwa urahisi kabla ushamba uwatoke wenyeji.
 
Kenyan media Ni tamu aiseh! The poorer the country the easier the life if you are a rich foreigner, ndio maana utatupata Nchi zote Masikini ili kuchuma kwa urahisi kabla ushamba uwatoke wenyeji.
Huwezi kukuta raia wa Botswana, Mauritius, Seychelles, Morroco, South Africa, Namibia, Qatar, Singapore, Norway, Japan, USA, Germany, Holland, wanazagaa hovyo duniani hadi kufika kufanywa watumwa huko Uarabuni, hiyo ni tabia ya watu toka Kenya, Ethiopia, Nigeria, Somalia, Syria, Eritrea, Yemen, and the like. Hahahaha.
 
WASIKIZE WENZIO BUDDAH.
USIFANANISHE TZ NA KENYA.
NA TENA HIZO NI GHARAMA ZA MJINI.
UKIENDA MIKOANI MATHALAN TABORA NYAMA KILO 3000TSH.
NA NZURI KABBISA.
SIJUI UNANIELEWA???
Unajua tatizo la Watu wa Kenya wanapenda sana sifa yani wanataka kila kitu kizuri bc iwe kenya sasa kwa kua kwao bei ya vyakula ipo juu bc wanadhani hata Tz ipo hivyo nadhani kuna kitu bado hawajakifaham labda niwajulishe :ipo hivi Kenya Pesa yake ina thamani kuliko ya TZ lakin Pesa ya TZ inakidhi mahitaji ukiwa ndani ya Tz tofauti na Pesa ya Kenya ukiwa ndani ya Kenya labda uchume Kenya uje kutumia TZ .
 
Hukulazimishwa kushika ila ukweli haupingiki.
Yani ww ni sawa na yule anayesema "sijui lakini haunidanganyi" asa haujui utajuaje km nakudanganya au sikudanganyi??
Utake usitake km hutaki meza panga Tanzania awamu hii nafaka hupanda na kushuka bei kulingana na mavuno.
Mwaka 2015 na 2016 tulinunua sukari robo 5000 kilo 2000 ,2016 katikati ikapanda kuwa 7000 robo ikaenda kilo ikawa 3000 ikashuka mpk 6000 kilo 2400.
Sembe ilipanda mpk 1800 kilo 2017 ikaja ikashuka mpk 1200 kilo mwaka jana na huu kulingana na mavuno.
Mwaka huu mavuno ni shida sembe ishaanza kupanda mpk 1400 kilo.
Hivyo ndivyo huwa.
Asa ww km unaleta habari za "sijui lakini hunidanganyi " endelea.

Yani wataka nishike kila unachokisema..wewe haswa
 
Ah kak achana nao hawa wanapenda unnecessary competitions .
Unajua tatizo la Watu wa Kenya wanapenda sana sifa yani wanataka kila kitu kizuri bc iwe kenya sasa kwa kua kwao bei ya vyakula ipo juu bc wanadhani hata Tz ipo hivyo nadhani kuna kitu bado hawajakifaham labda niwajulishe :ipo hivi Kenya Pesa yake ina thamani kuliko ya TZ lakin Pesa ya TZ inakidhi mahitaji ukiwa ndani ya Tz tofauti na Pesa ya Kenya ukiwa ndani ya Kenya labda uchume Kenya uje kutumia TZ .
 
Khyo hutaki kukubali km awamu hii ndio maisha yamepanda kuliko awamu zote zilizopita, deni lilipanda pia kuliko awamu zote...

Kwn na wewe uko kw denial...duh!!noma aisee
Hukulazimishwa kushika ila ukweli haupingiki.
Yani ww ni sawa na yule anayesema "sijui lakini haunidanganyi" asa haujui utajuaje km nakudanganya au sikudanganyi??
Utake usitake km hutaki meza panga Tanzania awamu hii nafaka hupanda na kushuka bei kulingana na mavuno.
Mwaka 2015 na 2016 tulinunua sukari robo 5000 kilo 2000 ,2016 katikati ikapanda kuwa 7000 robo ikaenda kilo ikawa 3000 ikashuka mpk 6000 kilo 2400.
Sembe ilipanda mpk 1800 kilo 2017 ikaja ikashuka mpk 1200 kilo mwaka jana na huu kulingana na mavuno.
Mwaka huu mavuno ni shida sembe ishaanza kupanda mpk 1400 kilo.
Hivyo ndivyo huwa.
Asa ww km unaleta habari za "sijui lakini hunidanganyi " endelea.
 
We jamaa ninaanza kuwa na was was na uelewa wako.
Masuala ya madeni yameingiaje??
Sijakataa kuwa maisha yamepanda awamu hii ila nimekupa sababu kwann awamu hii bidhaa hupanda na kushuka tofauti na awamu iliyopita.
Nikakueleza kabbisa kuwa mavuno awamu hii ni shida ukilinganisha na awamu ya nne km unakumbuka na ukame wa mvua uliotukumba mwez wa 2 mpk nne na mazao kunyauka.
Ebu tuliza kichwa usikaze head kaka.
Khyo hutaki kukubali km awamu hii ndio maisha yamepanda kuliko awamu zote zilizopita, deni lilipanda pia kuliko awamu zote...

Kwn na wewe uko kw denial...duh!!noma aisee
 
Afadhali umekubali km maisha yamepanda awamu hii...
Kufanya maendeleo ya lazima kuna taka moyo..manake utapandisha gharama ya masiha maradufu
We jamaa ninaanza kuwa na was was na uelewa wako.
Masuala ya madeni yameingiaje??
Sijakataa kuwa maisha yamepanda awamu hii ila nimekupa sababu kwann awamu hii bidhaa hupanda na kushuka tofauti na awamu iliyopita.
Nikakueleza kabbisa kuwa mavuno awamu hii ni shida ukilinganisha na awamu ya nne km unakumbuka na ukame wa mvua uliotukumba mwez wa 2 mpk nne na mazao kunyauka.
Ebu tuliza kichwa usikaze head kaka.
 
HIYO bei ya token SIO sahihi kuna Watu wanaweka kujiridhisha tu usikute kaiweka bei ile ambayo anaisikia viongoz wanaposema kuhusu gharama kulingana na vyanzo vya uzalishaj wa umeme ndo yy kaichukua hyo usikute hata hajawah kununua umeme

Mi ndio nlishangaa bro...nilipiga hayo mahesabu hadi nikashtuka...hku tukipigiwa kelele km kwao maisha rahisi...

Umeona bei ya token kwanzaView attachment 1227420
 
Back
Top Bottom