Manake sio kw ile mishahara yenu...nineamini sasa km maisha bongo ni magumu...
Bidhaa zimepanda bei mishahara magu kabana kuipandisha...vyuma vitaendelea kukaza nakwambia
Je kwenu huko ambako watu wamefungiwa ajira unasemaje???
Tanzania mshahara unajitosheleza na mahitaji husika.
Usifananishe maisha ya Tz na kenya.
Kenya mpk watu wana commit suicide tena hususan wanafunzi wa chuo kisa kuhofia ugumu wa maisha.
Hahahaha, ukifika mpakani Namanga, utakuta MAGARI yanayotoka Tanzania kuja Kenya yamefika kilometers 7 foleni yanaingia Kenya, na kutoka Kenya kuja Tanzania hayazidi kumi. Mwenye akili anajua hiyo inamaanisha nini, Hahahaha.Msikilize mbunge wenu...
Usibishe kaka...mishahara bongo kiduchu,
Halafu unakuja kumuuzia mtu bidhaa sawia na bei iliyopo kenya....si nikuumizana tu hko, nakwambia watu wataendelea kulia vyuma vimekaza mpka magu aondoke labda...na bado movie inaendelea, miaka mitatu tu bei za bidhaa ni km tu sawia na kenya, je akimaliza miaka kumi si mtakua km ghana
Hahahaha, ukifika mpakani Namanga, utakuta MAGARI yanayotoka Tanzania kuja Kenya yamefika kilometers 7 foleni yanaingia Kenya, na kutoka Kenya kuja Tanzania hayazidi kumi. Mwenye akili anajua hiyo inamaanisha nini, Hahahaha.
Hahahaha, mnaitamani sana nchi ya maziwa na asali, ndio sababu mnabembeleza tuwaruhusu kuingia bila Passport lakini hatutaki.Vyuma vinakaza Kama kawaida kwa jiwe Nchi ya Asali na Kinyesi
Hahahaha, ukifika mpakani Namanga, utakuta MAGARI yanayotoka Tanzania kuja Kenya yamefika kilometers 7 foleni yanaingia Kenya, na kutoka Kenya kuja Tanzania hayazidi kumi. Mwenye akili anajua hiyo inamaanisha nini, Hahahaha.
Bidhaa zimepanda na zitashuka kwasababu ya mazao yamepungua kijana.
Mwaka jana zilishuka baada ya mwaka juzi kupanda kwahyo mavuno yakija zitashuka bei.
Unajidanganya.
Mshahara wa Tz ukiu bajeti unaishi vema kwasababu gharama za maisha hata za pango la kulala ni nafuu kuzidi Kenya acha ubishi.
Kwamba bidhaa(goods) are cheap in Tanzania than in Kenya. Yaani unaweza kuja kununua bidhaa Tanzania na kupeleka Kenya na ukauza na kupata faida.Tuambie kaka yamaanisha nini??
Kisha mnapiga kelele hapa ya kwamba bongo sisi tuna mazao kibao...halafu kumbe katika bei mnapigwa hvo..
Si heri nchi yangu nitajua bei imepanda kw ajili ya mazao ni kiduchu na tu import sana...
We endelea kumtukuza binadamu tu, hku gharama ya maisha inapanda kw kasi ya ajabu kuliko awamu zote
Hahahaha, mnaitamani sana nchi ya maziwa na asali, ndio sababu mnabembeleza tuwaruhusu kuingia bila Passport lakini hatutaki.
Mi bongo nishawai kuja sana kw bibi yake mamangu..sioni kitu, labda unambie matunda na vinywaji hapo hewaaa nitakuunga miguu haswa
Hizi akili zenu ndogo zinawapa shida sana,Kisha mnapiga kelele hapa ya kwamba bongo sisi tuna mazao kibao...halafu kumbe katika bei mnapigwa hvo..
Si heri nchi yangu nitajua bei imepanda kw ajili ya mazao ni kiduchu na tu import sana...
We endelea kumtukuza binadamu tu, hku gharama ya maisha inapanda kw kasi ya ajabu kuliko awamu zote
We jamaa mgumu kuelewa.
Bidhaa kwasas Tz hupanda na kushuka man.
Hata mwaka jana zilishuka baada ya mwaka juzi kupanda ni kwasababu za mavuno.
Mavuno yanapokuwa mengi bei huwa rafiki yanapopungua bei huwa juu.
We jamaa unatumia nn kufikiria???
Hizi akili zenu ndogo zinawapa shida sana,
1) Nchi ambayo ina " the lowest inflation rate in the region.
2)Inaongoza Afrika kwa kupunguza umasikini
3)Inaongoza Afrika kwa matumizi mazuri ya pesa za serikali
4)Inaongoza Afrika katika "Economic inclusiveness index"
5)Inaongoza Afrika katika kupambana na rushwa.
Hivi nchi yenye kufanya vizuri katika hayo yote, vipi tena gharama za maisha ziwe zinapanda?. Inflation rate"