Tanzania maisha rahisi sana

Lakini unajua vizuri Hali Ni mbaya Sana huko JF pande ya Siasa naona mambo yako ya ukweli kuliko hapa Kenyan section.
Ushasema siasa,always katika siasa everyone bases on his or her interests..nilichokuambia ndo sahihi ingekuwa mchana ningekupigia picha za price katika shops yaani kwa muuzaji wa mwisho kabisa huku mitaani,si unajua bongo huwa hatutumii sana supermarkets huku ni shops everywhere
 
Mimi nipo Znz kilo mchele 2400 tena super mbeya
Kuna unga wa aina nyingi sana,wa bei ya juu ni itungi sembe ambayo kilo ni 1200,kuna unga kilo 1100 na ukitaka Dona kilo 1000,mchele upo wa aina nyingi sana ambapo wa bei ya juu ni kg 1 ni 2200,kuna mchele wa kilo 1900,1800,1500 hadi 1400 sukari kilo ni 2400 nusu kilo ni 1200 ambapo robo ni 600,nyama kilo ni 5000 hadi 6000 baadhi ya maeneo,ukienda Vingunguti nyama kilo hadi 2500
Wanaomchukia jiwe si wazungu tu hadi huku bongo kuna hawa wanaitwa ukawa,wao wako tayari hata kuongopa ili mradi jiwe akwame
 
We unafikiria kutumia kalio mzee au?
Mchele kilo moja Tz ni 2000 ,unga kilo 1400,ngano pia 1400 kilo nyama 5000 kilo.
Unataka bei ya nini??
Naomba hvyo uvigeuze kwenda kwa shilingi ya Kenya je wapi kuna unafuu??
Ebu tuliza wenge.
Nasubiri jibu.
Mbona hesabu zako za kihuni hvo...
Lete bei ya unga, mchele, sukari, nyama..wacha kupiga hesabu mwitu hapa
 
Mbna walia braza...kwn wewe unaishi miji yote ya tanzania...

inaonyesha umeumizwa sana na hyo hali walai...ndo manake huu uzi umekushinda...manake ingelikua umejaza vi emoji kibao hapa, lkn ni vile sindano ilipenyeza vizuri..
Ugua pole pole
Hawezi akaelewa maana anatumia makwapa kufikiria,
Mwambie aje Tanzania alafu aende sokoni kufanya shopping sio kupiga kelele za kujifariji ujinga hapa jukwaani
Mchele upo kila aina na kila aina na bei yake kuna mchele hadi buku jero kilo,
Nyanya juzi kati ilikuwa buku jero sado sasa hivi unapata kwa buku mbili kwa sado tena Nyanya zilizoshiba alafu anatapika ujinga hapa eti Tanzania Imefanyaje
 
Unga kilo 65
Ngano kilo 60
Sukari kilo 120
Mchele kilo 60

Haya piga mahesabu yako vizuri uone wapi kuna unafuu
We unafikiria kutumia kalio mzee au?
Mchele kilo moja Tz ni 2000 ,unga kilo 1400,ngano pia 1400 kilo nyama 5000 kilo.
Unataka bei ya nini??
Naomba hvyo uvigeuze kwenda kwa shilingi ya Kenya je wapi kuna unafuu??
Ebu tuliza wenge.
Nasubiri jibu.
 
1)Inamaana unga kwenu kilo ni tsh 1440 ilhali kwa huku Tz dona 1000tsh,sembe 1200,1400tsh.
2)Ngano kwenu ni Tsh 1330 ilhali kwetu kuna categories PPF 1400tsh,Azania 1200 tsh,Alta1200tsh unajichagulia wako na ngano poa 1200tsh.
3)Sukari kilo kwenu ni 2660 tsh ilhali kwetu 2400 tsh ttttt.
4)Mchele kwetu kuna categories nyingi tena vijijini hadi 1200 kilo unapata mjini ndio 2200,2000,1700,1500tsh.

Asa pima mwenyewe hujioni kama umejiumbua kaka???
Unga kilo 65
Ngano kilo 60
Sukari kilo 120
Mchele kilo 60

Haya piga mahesabu yako vizuri uone wapi kuna unafuu
 
Mbna walia braza...kwn wewe unaishi miji yote ya tanzania...

inaonyesha umeumizwa sana na hyo hali walai...ndo manake huu uzi umekushinda...manake ingelikua umejaza vi emoji kibao hapa, lkn ni vile sindano ilipenyeza vizuri..
Ugua pole pole
Niumie kisa nini hapa 😂😂😂 Nikikuambia ukweli ndio kuumia 😂😂😂 au unadhani huwa ukiumia wewe basi kila mtu anaumia kama wewe 😂😂😂 hii ni mitandao tu.
 
Nimekupa vitu average jomba...kwn hku ndio hakuna unga na michele rahisi...

Eti nimejiumbua...mbna wanichekesha jomba...kisha kiukwel maisha yenu yamepanda usibishane kabisa...tanzania ya sasa sio ile ninayoijua mm...

1)Inamaana unga kwenu kilo ni tsh 1440 ilhali kwa huku Tz dona 1000tsh,sembe 1200,1400tsh.
2)Ngano kwenu ni Tsh 1330 ilhali kwetu kuna categories PPF 1400tsh,Azania 1200 tsh,Alta1200tsh unajichagulia wako na ngano poa 1200tsh.
3)Sukari kilo kwenu ni 2660 tsh ilhali kwetu 2400 tsh ttttt.
4)Mchele kwetu kuna categories nyingi tena vijijini hadi 1200 kilo unapata mjini ndio 2200,2000,1700,1500tsh.

Asa pima mwenyewe hujioni kama umejiumbua kaka???
 
WASIKIZE WENZIO BUDDAH.
USIFANANISHE TZ NA KENYA.
NA TENA HIZO NI GHARAMA ZA MJINI.
UKIENDA MIKOANI MATHALAN TABORA NYAMA KILO 3000TSH.
NA NZURI KABBISA.
SIJUI UNANIELEWA???
Nimekupa vitu average jomba...kwn hku ndio hakuna unga na michele rahisi...

Eti nimejiumbua...mbna wanichekesha jomba...kisha kiukwel maisha yenu yamepanda usibishane kabisa...tanzania ya sasa sio ile ninayoijua mm...
 
Manake sio kw ile mishahara yenu...nineamini sasa km maisha bongo ni magumu...

Bidhaa zimepanda bei mishahara magu kabana kuipandisha...vyuma vitaendelea kukaza nakwambia
1)Inamaana unga kwenu kilo ni tsh 1440 ilhali kwa huku Tz dona 1000tsh,sembe 1200,1400tsh.
2)Ngano kwenu ni Tsh 1330 ilhali kwetu kuna categories PPF 1400tsh,Azania 1200 tsh,Alta1200tsh unajichagulia wako na ngano poa 1200tsh.
3)Sukari kilo kwenu ni 2660 tsh ilhali kwetu 2400 tsh ttttt.
4)Mchele kwetu kuna categories nyingi tena vijijini hadi 1200 kilo unapata mjini ndio 2200,2000,1700,1500tsh.

Asa pima mwenyewe hujioni kama umejiumbua kaka???
 
Kwn huku ndio hakuna vijiji...mbna wanichekesha jomba

WASIKIZE WENZIO BUDDAH.
USIFANANISHE TZ NA KENYA.
NA TENA HIZO NI GHARAMA ZA MJINI.
UKIENDA MIKOANI MATHALAN DODOMA NYAMA KILO 3000TSH.
NA NZURI KABBISA.
SIJUI UNANIELEWA???
 
Back
Top Bottom