Tanzania maisha rahisi sana

Wa tz semeni kabisa km walio komenti ni wapiga dili au wapinzani...huenda ikawa wanampaka matope jiwe kipenzi cha wote tu
Screenshot_20191008-232502_Lite.jpeg
Screenshot_20191008-232553_Lite.jpeg
Screenshot_20191008-232622_Lite.jpeg
Screenshot_20191008-232707_Lite.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20191008-232502_Lite.jpeg
    Screenshot_20191008-232502_Lite.jpeg
    60.5 KB · Views: 2
Si useme tu ni wakenya
Ati kuunganishwa na service ya tanesco 312600/= ? BS.
Saruji ya dangote 13000. Nani ahangaike na hizo za 20000.

Hao wanocomment ni waongo, duh. Endelea kuwaamini upate faraja moyoni mwako
 
Ila ndo vizuri mimi mimi mtanzania napenda sera ibadilishwe ili kila chakula kipande kichukue thamani yake halisi ili kulima ionekane ajira kama ajira zengine ,maana serikali wanavyo simamia bei za vyakula mkulima afaidiki ni sawa anafanya kazi ya kuwalisha wananchi wavivu na ndio maana tanzania eneo kubwa sana lakini halitumiki kwa kilimo kwa sababu kilimo kinaonekana kazi ya mtu aliepoteza dira yani asiyekuwa na kazi na yote hii sababu ya mazao kutokua na thamani kwasababu serikali inapanga bei . Itimisho : mm naunga hoja kupanda kwa chakula ili sekta ya kilimo iwe sehemu ya ajira tukimbilie huko tukajiajiri hata mimi natamani kulima mahindi ila silimi kwa sababu ni kazi ya hasara hailipi bora ufuta unalipa .
 
Ati kuunganishwa na service ya tanesco 312600/= ? BS.
Saruji ya dangote 13000. Nani ahangaike na hizo za 20000.

Hao wanocomment ni waongo, duh. Endelea kuwaamini upate faraja moyoni mwako
Mkuu mimi namwogopa Mungu, hii service ya Tanesco kweli ni 300k kama wataeka na nguzo

Kuna nyumba mzee alijenga kule kijijini na amelipia hizo gharama toka mwezi wa 8 na mpaka leo hawajaweka

Kuhusu cement, sijui hao wanaishi mikoa gani, huku bei ya juu ni 16000 Tsh
 
Ati kuunganishwa na service ya tanesco 312600/= ? BS.
Saruji ya dangote 13000. Nani ahangaike na hizo za 20000.

Hao wanocomment ni waongo, duh. Endelea kuwaamini upate faraja moyoni mwako
Saruji saruji wengine wananunua jina kitu cha bei nafuu kipo ya nini kununua cha bei juu c wametaka wenyewe kwa ujinga wao kama saruji ya dangote 13000_13500
 
ILA NDO VIZURI MIMI MIMI MTANZANIA NAPENDA SERA IBADILISHWE ILI KILA CHAKULA KIPANDE KICHUKUE THAMANI YAKE HALISI ILI KULIMA IONEKANE AJIRA KAMA AJIRA ZENGINE ,MAANA SERIKALI WANAVYO SIMAMIA BEI ZA VYAKULA MKULIMA AFAIDIKI NI SAWA ANAFANYA KAZI YA KUWALISHA WANANCHI WAVIVU NA NDIO MAANA TANZANIA ENEO KUBWA SANA LAKINI HALITUMIKI KWA KILIMO KWA SABABU KILIMO KINAONEKANA KAZI YA MTU ALIEPOTEZA DIRA YANI ASIYEKUA NA KAZI NA YOTE HII SABABU YA MAZAO KUTOKUA NA THAMANI KWASABABU SERIKALI INAPANGA BEI . ITIMISHO : MM NAUNGA OJA KUPANDA KWA CHAKULA ILI SEKTA YA KILIMO IWE SEHEMU YA AJIRA TUKIMBILIE HUKO TUKAJIAJIRI HATA MIMI NATAMANI KULIMA MAHINDI ILA SILIMI KWA SABABU NI KAZI YA HASARA HAILIPI BORA UFUTA UNALIPA .

Kiaina umeiweka sawa na unaeleweka ila duh hapo ndio mtatesana zaidi.
 
Hamna bro watateseka wavivu huku ukisikia mtu analalamika njaa sio kama vyakula hamna , analalamika kwasababu bei zilokuepo aziendani na esabu yake na anataka kuishi mjini na yeye sasa ikiwa mazao yatakua na thamani watu wengi watarudi shamba kulima kwasababu wataona inawalipa kuliko kufanya kazi kiwandani
Kiaina umeiweka sawa na unaeleweka ila duh hapo ndio mtatesana zaidi.
 
Hivi fikiria tu hata kama wewe ungelima kwa hali hii: unalima labda mahindi unavuna unapeleka nyumbani ukienda kupeleka sokoni pishi unauza Tsh 2000 ,pishi ni kipimo cho kometi yani nisawa na kilo 4 unaiuza kwa 2000 ushasubiria kwa miezi 3 wakati ufuta kilo 3000 kwa miezi 3 hata kama wewe lipo pori la bure utalima mahindi?.
Kiaina umeiweka sawa na unaeleweka ila duh hapo ndio mtatesana zaidi.
 
Mkuu mimi namwogopa Mungu, hii service ya Tanesco kweli ni 300k kama wataeka na nguzo

Kuna nyumba mzee alijenga kule kijijini na amelipia hizo gharama toka mwezi wa 8 na mpaka leo hawajaweka

Kuhusu cement, sijui hao wanaishi mikoa gani, huku bei ya juu ni 16000 Tsh
Sio huu wa REA mkuu, mwambie aombe wa REA adai chenji yake.
Ni kijiji gani, mkoa gani huo.
 
Mkuu mimi namwogopa Mungu, hii service ya Tanesco kweli ni 300k kama wataeka na nguzo

Kuna nyumba mzee alijenga kule kijijini na amelipia hizo gharama toka mwezi wa 8 na mpaka leo hawajaweka

Kuhusu cement, sijui hao wanaishi mikoa gani, huku bei ya juu ni 16000 Tsh
Hakuna kitu Kama hicho umeme Ni Bei nafuu na umesambazwa kote Nchini. Tunawajua wapinzani.
 
Kisha unakuta jamaa hapa anakuja kusema tsh elfu kumi anajaza machungwa katika fridge yake...
Kwn ni bakuli au ni fridge jamani
Maisha magumu sana kwa hawa, tatizo lao kubwa ni waficha maradhi, huumia kimya kimya maana walishaambiwa watembee kifua mbele wapo kwenye laiti traki.
 
Ndio hapa nikauliza...km wapinzani au wapiga dili
Wa tz semeni kabisa km walio komenti ni wapiga dili au wapinzani...huenda ikawa wanampaka matope jiwe kipenzi cha wote tuView attachment 1227087View attachment 1227088View attachment 1227089View attachment 1227090
Kumbe kuna waongo
Ati kuunganishwa na service ya tanesco 312600/= ? BS.
Saruji ya dangote 13000. Nani ahangaike na hizo za 20000.

Hao wanocomment ni waongo, duh. Endelea kuwaamini upate faraja moyoni mwako

Poleni basi jamani km kuna watu hawamtakii mema jiwe kipenzi cha wote
 
Akina babayao joto la jiwe kosugi huwezi waona hku

Eti maisha tanzania ni rahisi...
Kumbe heri ya kwetu tena...
Umeme sijui vyakula, saruji, mabati...eti "hku ni rahisi"

Pole yenu wana ccm
 
Maisha magumu sana kwa hawa, tatizo lao kubwa ni waficha maradhi, huumia kimya kimya maana walishaambiwa watembee kifua mbele wapo kwenye laiti traki.
Hivi kumbe cost of living Tanzania iko higher than Kenya?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom