Tanzania: Lake Babati to be leased to Chinese investors

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
747
3,059
Mji wa Babati uko katika mchakato wa kulikodisha ziwa Babati kwa kampuni toka China ya XIN SI LUCO Ltd, kuwekeza katika mradi wa ufugaji samaki.

Hatua hiyo inalenga kufufua ziwa hilo ambalo kina chake na viumbe waishio vimeendelea kupungua na kuathiri utalii na maisha ya watu.

Dnmc1JxU8AEf5ij.jpg
 
Kuna nini ndani ya Lake Babati?
Viboko na perege! labda hata mamba!
Anyway hii ingekuwa ni investment nzuri sana kwa babati na mkoa wa Manyara kwa ujumla lakini kulease/ kulikodisha ziwa kwa wachina ni kosa kubwa sana. Yaani serikali imekosa wabia wa kuwekeza kwenye like ziwa mpaka wakaamua kukodisha. Myopic!
 
Mkataba uangaliwe. Sio tu wanapewa ziwa halafu hamna chochote kinacho endelea.

Yaseije yakatokea ya zambia.
 
Back
Top Bottom