Tanzania kwenda Congo ni sawa kwa Taifa

Kamundu

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
3,704
2,000
Wanaosema si muhimu kwenda Congo ni lazima waelewe dunia hii inaendeshwa kwa mipango na si kukaa tu kwenye nchi yako. Congo yenye kutulia itatusaidia mengi Watanzania kuanzia kwenye biashara za utalii, madini na utumiaji wa bandari. Vilevile Congo iliyotulia itasaidia wa congo na kuondoa vita vya kila siku. Hivyo kwa manufaa ya taifa jeshi letu lina uwezo, nia na sababu ya kwenda Congo kulinda maslahi ya Congo na ya kwetu. Marekani ina majeshi saudi Arabia, German, Ital, Korea na Japan na ndiyo maana nchi ya marekani iko juu. Kusingekuwa na usalama leo nchi hizo zisingekuwa tajiri hivyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom