Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wana jamvi kuna jamaa wanajiita tanzania kwanza wanao tetea serikali mbili,walitoaga ratiba yao ya kuzunguuka nchi nzima lakini mpaka leo hatuwaoni au wameufyata kwa ukawa?pia kuna kundi la wasanii wakiongozwa na steven nyerere wakatangaza kuzunguuka kutetea serikali mbili lakini hawaonekani uwanjani huku ukawa wanachanja mbuga au wamepiga pesa wakasepa maana magamba wanatoboka mbaya muda huu wanahaha