'Tanzania kwanza' mbona wameingia mitini kupambana na UKAWA?

Riziki Magembe

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
886
206
Wana jamvi kuna jamaa wanajiita tanzania kwanza wanao tetea serikali mbili,walitoaga ratiba yao ya kuzunguuka nchi nzima lakini mpaka leo hatuwaoni au wameufyata kwa ukawa?pia kuna kundi la wasanii wakiongozwa na steven nyerere wakatangaza kuzunguuka kutetea serikali mbili lakini hawaonekani uwanjani huku ukawa wanachanja mbuga au wamepiga pesa wakasepa maana magamba wanatoboka mbaya muda huu wanahaha
 
Serikali mbili haihiitaji kampeni inapita mchana kweupe mbona tatu hata mlevi wa gongo hawezi kubali
 
Miaka 50 tumeishi na Serikali 2 leo tuanze kupiga kampeni eti kuzitetea, hayo si maajabu jamani?
 
Yani wamemwachia Nape na yule Elephant dentist ndo watetee serekali mbili!
Yani ni full comed maana ata huyo nape hajui Katiba ni nini na mwenzake anasema katiba haina umuimu?
 
Serikali mbili sio kitu kipya kwa watanzania, wanakifahamu, wanakipenda na wanataka ziendelee kuwepo. Sasa mikutano ya nini?
 
Ooyooo hata yule mhishimiwa alipotaka muwongozo huwo akajibiwa nenda huko huko kwenu ukawaulize wakubwa zako na sijui kama kainda au bado na jibu lake bado halijatangazwa au ndo siri ya mtungi ajuai hapo tena na wachea watalamu au maprofisa njaa wa kibongo
 
Tanzania Kwanza wamevaa KOTI la CCM. Tanzania Kwanza ndiyo akina Nape na Kinana wako busy mikoani kujibu hoja za UKAWA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom