Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
- Thread starter
- #21
91 years sio mchezo hata kidogo mkuu. Hakika Mungu amekuwa mwema sana kwake.91yrs
91 years sio mchezo hata kidogo mkuu. Hakika Mungu amekuwa mwema sana kwake.91yrs
I can seeMasuala ya kidiplomasia tumerudi nyuma sana.
Sawa mkuuHayo Mabeberu ya Kiarabu Hayatuhusu.
Huyu alikuwa ni mkuu wa nchi rafiki na Tanzania...Labda naye alikuwa ni UAMSHO
Sina uhakika kuhusu hili mkuu.au alikuwa anamuunga mkono sheikh Ponda.
Kwanini uliwaza hivi?Hayo Mabeberu ya Kiarabu Hayatuhusu.
MhhhHayo Mabeberu ya Kiarabu Hayatuhusu.
Mkuu, tuliopo JF kwa sasa ni wachache sana watakuja kufikisha umri huu.91yrs
Sina uhakikaHayo Mabeberu ya Kiarabu Hayatuhusu.
Sawa bossHayo Mabeberu ya Kiarabu Hayatuhusu.
LabdaUchaguzi
Inawezekana pia mkuuLabda
Sawa mkuuKuanzia 29 September mpaka leo ni siku tatu. Kweli walipaswa kutoa salam za pole.