Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa 10 wa Kimataifa wa African Materials Research Society

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,567
Wanabodi,
Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa 10 wa Kimataifa wa African Materials Research Society.

Kwa wenye nafasi fuatilia kupitia TBC Live Kipindi cha Jambo.
P
 
Tanzania yetu inapaa.wanaojifanya hawaoni tushatemana nao kitambo..hapa kazi tu
 
Wanabodi,
Tanzania Kuwa Mwenyeji wa Mkutano wa 10 wa Kimataifa wa African Materials Research Society.

Kwa wenye nafasi fuatilia kupitia TBC Live Kipindi cha Jambo.
P
Ndio kina nani hao?
Najua mnajua kuwa kuna ile huduma ya "kunawa" hutolewa na "the oldest Professionals"
Kwa kupenda sifa jamaa wanakuja "kuwanawa" hadharani mkikutwa "mnato" mshughulikiwe mpaka ipate moto!!!

Kumbukizi:-
"wakubwa wamechukua gesi yetu sisi hatuna kitu tena" (mnayemtukuza kwa misifa ndiye nimemnukuu)
 
Back
Top Bottom