TANZANIA KUTOKUSAINI MKATABA WA EPA HAIEPUKIKI.

adna yuzo

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
1,037
2,000
mambo vipi member! tanzania ni miongoni mwa nchi masikini duniani ambayo inategemea misaada kutoka nchi mbalimbali kama US na UINGELEZA(EU). jambo ambalo kwa sasa lipo mazungumzoni ni tanzania kutokusaini mkataba wa EPA ambapo watanzania wengi wanasapoti hichi kitu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo unyonyaji uliokithiri dhidi yetu mfn kufa kwa viwanda vyetu hii inatokana na kukaribisha bidhaa za ulaya ambazo ni quality pia bei iko cheap inafanya kuteka soko letu la east afrika/tanzania lakin hatujafikiria kwanini sisi inatufaa kusaini mkataba huu. ulaya ni bara ambalo linatoa mchango mkubwa katika nchi zetu masikin nazan hatujui kwanini wanatoa,pia hatujua wapi wanatoa pesa za kutupatia bali tunachojua sisi ni kutumia pesa ambazo tunapatiwa ambazo kiuhalisia ni pesa zetu halali zinazotokana na unyonywaji wa kimkakatiulioaznza toka zaman. kwa upande wangu kama tusipo saini huu mkataba hatutopokea misaada kama vile ambavyo inapaswa tupokee kwani ile hela ambayo tunawagaia kiinderectly wanakuwawanaikosa so itakuwa ngumu kutoa huduma bila ya kulipia. ila pendekezo nikukaa meza mojakuondoka baadhi ya makubaliano mfn ilitosaini sisi kamatanzania tunaomba mupokeebidhaa zetu asilimia kadhaa kwa mwaka au kivengine ambazo wabunge au nchi itakavyofikiria..je wewe kama mdau unaonaje kuhusu hili suala???
 

Alpha M

Senior Member
Nov 8, 2016
165
250
Pesa za misaada hatutonyimwa labda wanaweza tafuta sababu zingine wazibane, kuna njia nyingine nchi za ulaya wanaweza kutumia....mfano kujenga viwanda vikubwa Kenya then kuziuza kwa Tanzania kwa mwanya wa soko huria ambalo ni makubaliano ya nchi zote za Afrika mashariki (ingawa kigezo cha "law of origin on imported commodities" kinaweza bana kiasi fulani bidhaa za EU countries zinazotengenezwa Kenya kwa pazia la wawekezaji kutoka nje.

Solution: ikiwa hatuto saini mkataba wa EPA wakati wa mkutano wa EAC hapo January, basi itatubidi pia kufuta makubaliano ya soko huria kati ya nchi zote za afrika mashariki (au Tanzania kujitoa katika soko huria walakani zingine ziendelee)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom