Nimefurahi sana kusikia Tanzania kuzindua mpango wa kutokomeza VVU kwa watoto hio tarehe 1 Desemba huko Lindi. Ombi langu kila mtu ajiwekee lengo kuepusha angalau mtoto mmoja asiambukizwe VVU. Manake inasemekana kwa siku moja hadi watoto 85 huambukizwa VVU kutoka kwa mzazi hapa nchini (halafu bila kujua!). Inauma sana.....