Tanzania: Kushuka kwa thamani ya shillingi, mfumuko wa bei na siasa zetu!

soda 600 mtaani hakuna anayeuliza wkt kiwanda kinasema retail price 500 hivi maafisa biashara wa wilaya wapo?kazi yao nini au kutoa leseni basi

hichi (hiki?) ndo nnacho hoji, nani anatakiwa afanye nini?
 
Tunapoikataa serikali ya kifisadi wengine wanaleta mzahaa! sasa baada ya kupewa kofia, khanga, kaptula na tisheti sijui ugumu huu ninao uona mimi na wewe uliye pokea huo uchafu unasikia hivyo hivyo?........
 
Hayo ni madhara ya uchaguzi uliopita. Pesa nyingi saana iliingia mtaani ikiwa ni pamoja na nyongeza ya mshahara na rushwa isyokwisha. Mfumuko hauwezi kuisha kama rushwa haitadhibiwa, miundombinu haitaimarishwa na uzalishaji wa ndani hasa kwenye kilimo na viwanda hautapewa kipaumbele. Jambo rahisi serikali inaloweza kufanya ni kupunguza uwingi wa fedha kwenye mzunguko na kuhakikisha inatumia kulingana na uwezo wake kuliko kukimbilia kukopa.
 
soda 600 mtaani hakuna anayeuliza wkt kiwanda kinasema retail price 500 hivi maafisa biashara wa wilaya wapo?kazi yao nini au kutoa leseni basi

nimekunywa soda jana sh mia 5. Au muuzaji alijisahau.
 
NBS wamesema mfumuko wa bei wa bidhaa umepanda mara dufu mpaka desemba 2010.ukilinganisha na nchi za afrika mashariki na kati tanzania tunaongoza kwa mfumuko mkubwa sana!huwa najiuliza inakuaje uganda,malawi bei ya dizeli ipo chini sana ukilinganisha na tanzania yenye bandari 3?tanzania tunafaidikaje kwa kupanda kwa bei ya dhahabu ktk soko la dunia?
 
NBS wamesema mfumuko wa bei wa bidhaa umepanda mara dufu mpaka desemba 2010.ukilinganisha na nchi za afrika mashariki na kati tanzania tunaongoza kwa mfumuko mkubwa sana!huwa najiuliza inakuaje uganda,malawi bei ya dizeli ipo chini sana ukilinganisha na tanzania yenye bandari 3?tanzania tunafaidikaje kwa kupanda kwa bei ya dhahabu ktk soko la dunia?


Mkuu,

Siri yote ipo kwenye kauli mbiu ya CCM
......zaidi,.......zaidi.........zaidi.

welcome to TZ!
 
Public: Inflation blocking rise in standard of living




By The guardian reporter



27th December 2010




As 2010 comes to a close, rising prices of food and other essentials against low incomes has been cited as one of the stumbling blocks to decent life for the people.
Remarks to that end are contained in interviews covering Christmas celebrations and preparations to welcome 2011 by a cross section of respondents ranging from religious leaders to ordinary workers.
In his Christmas message, the Zanzibar Anglican Church Bishop Michael Hafidh called on the government to take measures to control inflation which he said had erased purchasing power of the people. He said many were finding it difficult to buy basic necessities in order to lead a decent life.
Bishop Hafidh said people were experiencing hardships as a result of the inflation. “Affordable food prices to consumers are not in place despite promises by the country's leaders to deal with the problem.
He called on leaders to act against unwarranted price hikes with a view to controlling the trend.
"We expect to hear heartening news from leaders about measures taken to control price hikes,” said the Bishop.
Correspondents of The Guardian in Morogoro and Iringa reported that religious leaders in Tanzania have warned politicians to stop talking about growing religious bias in the country and instead point out the culprits.
The leaders made the remarks during ceremonies to celebrate Christmas where they emphasised the maintainance of peace and unity in the country.
Catholic Bishop Telesphori Mkude of Morogoro Diocese warned political leaders to be careful in what they say: “It is not enough to say religious differences have emerged in the country. We need facts to justify such assertions,” Bishop Mkude said
Mkude charged that political party leaders are trying to drag religion into what are essentially political conflicts.
“I do not see religious difference in Tanzania. There are no separate buses for Muslims and Christians,” Mkude explained.
“The conduct of the recent General Election in our country is what has brought us here. We do not wish to see chaos in our county, “he said
Bishop Owdernburg Mdegela of Evangelical Lutheran Church in Tanzania (KKKT) said all leaders who perpetuated religious differences with the aim of dividing the public should immediately be evicted from their offices.



SOURCE: THE GUARDIAN
 
As 2010 comes to a close, rising prices of food and other essentials against low incomes has been cited as one of the stumbling blocks to decent life for the people.

Linaloshangaza ni kwa BOT kudai mfumuko wa bei unazidi kupungua wakati huku mtaani makali yake tunaona yanaongezeka kwa kasi isiyoweza kuthibitiwa..................whom are we fooling.............................
 
Ndulu hanunui petrol,gasi, sukari , mchele wala nini? Atajuaje ? Foolish report
 
Catholic Bishop Telesphori Mkude of Morogoro Diocese warned political leaders to be careful in what they say: "It is not enough to say religious differences have emerged in the country. We need facts to justify such assertions," Bishop Mkude said
Mkude charged that political party leaders are trying to drag religion into what are essentially political conflicts.
"I do not see religious difference in Tanzania. There are no separate buses for Muslims and Christians," Mkude explained.
Naungana na Askofu Mkude kulaaani na kukemea wale wote wanaosema Tanzania kuna udini
 
Kaka Ruta hali hii kama itaendelea itawafanya watu wakimbie familia zao.
Unajua kuna wakati nilikuwa nampa wife kiasi fulani cha pesa kwa mahitaji ya ndani (chakula, umeme n'k) ambacho kilitosha mwezi mzima.
Ghafla hela ikawa haitoshi nikafikiri sasa wife kaamua kumjengea babake kibanda, RealMan nikajitosa sokoni mwenyewe. Pressure ikawa inapanda na kushuka kwa kila bidhaa niliyouliza bei. Tuko hapa tulipo kwa sababu tumechagua kuwa hapa na inabidi tuendelee kuwa wavumilivu.

Takwimu za Ndulu ni zakuwafurahisha watawala na wafadhili ndio maana akatunukiwa Gavana bora Africa (kama sikosei). Wanasema inflation has gone down to single digit wakati bei ya chakula imepanda twice as much ilivyokuwa 5yrs back.
Tatizo watanzania hawajatambua siasa inahusika na maisha yao ya kila siku
 
ndugu katika jf, nilienda jana kununua bidhaa za kibandani kwangu bei nilizo zikuta zikanifanya ninunue bidhaa 2/3 ya kiwango nilichopanga kununua. je hali hii tutafika?
je tatizo lipo Arusha tu au na mikoa mingine?
 
bado huo ni mwanzo tu! kuna miaka minne na ushei ya kulia na kusaga meno, mfumuko haujaikia kile kiwango chake! maana yake itafikia wakati hatutajadili tena hapa siasa bali mkate wa leo tunaupataje!! huko ndiko tunakoelekezwa kama hamjui! Inabidi tufanye kazi wa bidii kwelikweli... na rushwa ndio zitaota chaza sasa! ole wetu!
 
Back
Top Bottom