Tanzania kupoteza Trilioni 2 kwenye Utalii

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,353
Saturday, July 9, 2016
Tourism ‘to lose Sh2tr’ as VAT bites

pic+utalii.jpg

Dar es Salaam. Tanzania’s new value-added tax (VAT) on tourism services could reduce the number of visitors from the European Union by half, a group has warned.

ECTAA, s a group of national travel agents’ and tour operators’ associations within the bloc, says member countries account for 50 per cent of all tourists who arrive in Tanzania and whose planned trips could now be cancelled over the additional cost.

The loss of 50 per cent of tourists would mean the country losing an estimated Sh2 trillion if data from the previous year’s trading is anything to go by.

On July 1, Tanzania imposed VAT on tourism services despite outcry that it would make the country a more expensive destination.

So far about 8,000 tourists have cancelled their vacations to Tanzania, denying the country $660,000, The Tanzania Association of Tour Operators (Tato) says.

ECTAA has called on the Tanzanian government to either scrap the VAT or else they will rebook their customers to other African destinations.

ECTAA represents the national associations of travel agents and tour operators of 27 EU member states, of two EU accession countries as well Switzerland and Norway, and three international members.

It represents some 70,000 enterprises in Europe.

The permanent secretary in the Ministry of Natural Resources and Tourism, Maj Gen (rtd) Gaudence Milanzi has said the ministry would soon have a dialogue with Tato to see to mitigate the government decision on VAT on tourism services.

Source: The Citizen
 
Watu wanafanya speculation. Hakuna empirical evidence mpaka sasa kutoka kwa tour operators kuonesha mapato kabla ya VAT yalikuwa kiasi gani kwa mwaka na makadirio ya mapato baada ya kuwekwa VAT yatakuwaje

Hayo ndo majibu ya waziri

anashindwa kujua kuwa wenzetu wanafanya booking hata miaka miwili kabla
na bajeti zao hawapendi kuzi disturb ..

hivyo hiyo hasara ni possible kama watu wata cancel tu bookings za mwaka huu
wajipange kwa next year
 
Kaka, sijui Waziri alijibu nini, ila swali langu ni kuwa tour operators wametoa data kuonesha kiasi gani kilipatikana kwa shughuli za utalii bila tozo ya VAT?

Pili kwa kutoza VAT kiasi gani cha mapato kitapotea?

Tatu, ni kiasi gani serikali ilikuwa ikipata katika utalii bila VAT?
 
mkuu pesa za utalii zitafidiwa na reorganization ya humu ndani. kuna uzi inasema idara zinaunganishwa zibakie 6, unadhani tutaokoa kiasi gan? hapa ni mbere kwa mbere tuu:(
 
Kaka, sijui Waziri alijibu nini, ila swali langu ni kuwa tour operators wametoa data kuonesha kiasi gani kilipatikana kwa shughuli za utalii bila tozo ya VAT?

Pili kwa kutoza VAT kiasi gani cha mapato kitapotea?

Tatu, ni kiasi gani serikali ilikuwa ikipata katika utalii bila VAT?

Tour operators hawapingi ongezeko la VAT tu
wanapinga ongezeko kuanza mwaka huu ....hawakujiandaa kuwaambia wateja waliofanya
bookings toka January lakini walikuwa wana mpango wa kuja mwezi wa tisa mfano
na gharama washakubaliana
kuwaambia kuanzia July kuna ongezeko waongeze pesa hapo ndo shughuli

So hapo kuna mambo mawili
kwanza ongezeko la kodi
pili ongezeko kuanza mwaka huu

Iwapo serikali ingesema japo toka January kutakuwa na ongezeko la kodi July
au hili ongezeko lianze January mwakani.....malalamiko yasingekuwa makubwa
na hofu ya kupoteza watalii isingekuwepo
 
Hayo ndo majibu ya waziri

anashindwa kujua kuwa wenzetu wanafanya booking hata miaka miwili kabla
na bajeti zao hawapendi kuzi disturb ..

hivyo hiyo hasara ni possible kama watu wata cancel tu bookings za mwaka huu
wajipange kwa next year

Nchi nyingi za Afrika zina 'risks' na 'uncertainties' kwenye policies.

Ndio maana sishangai tukatembelewa na watalii wachache ili hali tuna vivutio vingi sana.

Mtu anafanya bookings miaka miwili kabla halafu hapo kati mnabadilisha sera zenu.

Unategemea huyo mtu ataendelea kuja? Hata awe bilionea.

We are not predictable kabisa.
 
Tuna wa treat watalii kama vile 'wanajipendekeza kwetu'
kama vile hata tufanyaje 'watakuja tu'
 
Wamejua je ita loose hizo hela? kwani wamejua mtalii atatumia kiasi gani?
 
Nchi nyingi za Afrika zina 'risks' na 'uncertainties' kwenye policies.

Ndio maana sishangai tukatembelewa na watalii wachache ili hali tuna vivutio vingi sana.

Mtu anafanya bookings miaka miwili kabla halafu hapo kati mnabadilisha sera zenu.

Unategemea huyo mtu ataendelea kuja? Hata awe bilionea.

We are not predictable kabisa.
Ufanye booking 2yrs kabla kwani unaenda Jupiter?
 
Back
Top Bottom