Ni kweli wewe upo vizuri kinoma, yani mpaka unatisha.Kweli wewe ni kilazza.
Ni kweli wewe upo vizuri kinoma, yani mpaka unatisha.Kweli wewe ni kilazza.
Ufanye booking 2yrs kabla kwani unaenda Jupiter?
Hatutaki watalii masikini - Jumanne Maghembe .
Hata idara ikibaki moja ni pesa kiasi kidogo sana tutapata ikilinganishwa na utaliimkuu pesa za utalii zitafidiwa na reorganization ya humu ndani. kuna uzi inasema idara zinaunganishwa zibakie 6, unadhani tutaokoa kiasi gan? hapa ni mbere kwa mbere tuu
Hapo ushamaliza kila Kitu .Wamejua je ita loose hizo hela? kwani wamejua mtalii atatumia kiasi gani?
Nchi nyingi za Afrika zina 'risks' na 'uncertainties' kwenye policies.
Ndio maana sishangai tukatembelewa na watalii wachache ili hali tuna vivutio vingi sana.
Mtu anafanya bookings miaka miwili kabla halafu hapo kati mnabadilisha sera zenu.
Unategemea huyo mtu ataendelea kuja? Hata awe bilionea.
We are not predictable kabisa.
Je inawezekana kwenye nchi hizo za watalii watokako wakakaa miaka miwili bila ya mabadiko yeyote katika policies zao?
Tour operators hawapingi ongezeko la VAT tu
wanapinga ongezeko kuanza mwaka huu ....hawakujiandaa kuwaambia wateja waliofanya
bookings toka January lakini walikuwa wana mpango wa kuja mwezi wa tisa mfano
na gharama washakubaliana
kuwaambia kuanzia July kuna ongezeko waongeze pesa hapo ndo shughuli
So hapo kuna mambo mawili
kwanza ongezeko la kodi
pili ongezeko kuanza mwaka huu
Iwapo serikali ingesema japo toka January kutakuwa na ongezeko la kodi July
au hili ongezeko lianze January mwakani.....malalamiko yasingekuwa makubwa
na hofu ya kupoteza watalii isingekuwepo
Nchi zilizo serious na wanachofanya hawabadili policies kienyeji kama Tanzania.
Nchi kama uaransa inaingiza hela nyingi sana kwenye utalii, huwezi kuta wanaweka sera za ajabu kila siku.
Watalii walikuwa hawalipi kodi ya nchi (VAT) hivyo hazina ya nchi ilikuwa haifaidiki cho chote na watalii hawa kama ambavyo hatufaidiki na kampuni za migodi ambazo zina 20 years tax exemption. Waliokuwa wanafaidika na watalii ni hawa tourist & hotel operators. Hichi ndicho sababu za kelele kutoka kwa hawa ma operators. Sisi hata mama ntilie analipa VAT sasa kwa nini mtalii asilipe au ashindwe kulipa VAT? Asiyeweza hatumtaki na asije, hana faida yo yote kwetu. Mbona na sisi tukienda kutalii kwao huwa wanatutoza VAT?
Tusiwe wajinga. Hata bandarini wateja wamepungua kwa zaidi ya nusu lakini mapato ya serikali yameongezeka kwa zaidi ya mara dufu. Vivyo hivyo tutegemee kwenye utalii mapato ya serikali yataongezeka kwa zaidi ya trillion 2 from zero figure ya sasa.
Hii kodi wala si kubwa kiasi wanachotaka ma tour operators hawa tuamini. Haina tofauti na ile VAT ya miamala ya ya pesa kwenye simu, mabenki na ATM ambazo tumeanza kuzilipa.
Nchi zilizo serious na wanachofanya hawabadili policies kienyeji kama Tanzania.
Nchi kama uaransa inaingiza hela nyingi sana kwenye utalii, huwezi kuta wanaweka sera za ajabu kila siku.