Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 975
- Thread starter
- #21
Tena msaada wenyewe wa chini ya USD 2m ambazo mzee wetu wa Azam angeweza kumrushia Doto hata kwa simu angetaka. Hizi aibu zingine ni za kufungia mwaka. Halafu hivi kweli bado tunahitaji shirika la Uvuvi la Taifa? So tusubiri na RTC nayo or? Shame on us.
Mnamwabudu sana huyo Azam kwa nini msiende mkaishi nae? Azam ameweza kuwa tajiri kwa sababu ya mazingira mazuri ambayo Tanzania imeweka. Bila kuwa na mazingara hayo Azam asingekuwepo au kuwa tajiri. Shame on you.