Abely msomba
Member
- Sep 3, 2018
- 28
- 10
Wakushirikishe wewe nani🤸🙅Chanjo za China zinakataliwa Saudi Arabia. Wale wa hijja wawe makina wasije kupokea kitu ambacho kinakataliwa kuingia Saudi Arabia
Chanjo zinapolelewa bila hata kuwashirikisha wananchi na kufanya uchunguzi. Kazi ipo tena kubwa sana
Ikija wewe chanja usiulize Tz inaenda kasi sana Jpm haya ya uviko hayakuwepo SSL tunayo ya uviko
Tz tunasafari ndefu sana